Wasaga sumu njooni sasa
Nyie mlipigwa hapo
Sisi ndiyo sisi na mtakiona cha mtema kuni Anfield
Ha ha ha ha ha ha ha.....
Endelea kuchungulia na kugumia maumivu huko ulipo...
DS kawakosa mno kipindi cha pili
Vijana mawazo yao yote ni Man U na watafirigiswa mbaya Jumapili
Tumeshinda but am not happy. We need to do a lot better than this shit on Sunday vs Manure.
Wachezaji karibu wote leo walikuwa off-colour....credit to BR for that magic half time team talk.
Fungeni gamutuz jumapili warudi nafasi yao ya 7 kwa msimu wa pili mfululizo.