Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Asante mtani

Kumbe ulipata na kamuda ka'kuangali game.....

Hiyo jumapili hiyo wacha ifike tu tuone 90mnts
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa ... BR anatakiwa ampe Ballo muda kuliko DS maana siku hizi kameanza kuboa

Halafu kama nimesikia kuwa Ballo ni injury ingawa BR hakulizungumzia hili kwenye press conference na swans

Mechi 2 za mwisho DS simuelewielewi kabisa.

Apigwe bench kama 2 matches hivi ashike adabu.
 
Title yenu tayari mnayo Mpwa,hongereni sana!

Jumapili tunamfukuza Man U hapo namba 4 na kabla Aprl haijaisha Man City nae namshusha

Nikuulize kitu kimoja, hv mkimaliza msimu huu nafasi ya tatu bila kikombe chochote mtakuwa mmefanikiwa kuliko msimu uliopita au mmefanya vibaya zaidi ya msimu uliopita..?
 
Nikuulize kitu kimoja, hv mkimaliza msimu huu nafasi ya tatu bila kikombe chochote mtakuwa mmefanikiwa kuliko msimu uliopita au mmefanya vibaya zaidi ya msimu uliopita..?

Itakuwa tumefanya vibaya sababu mwaka jana tulikuwa wa pili

Kuchelewa kupata formation BR kumetuumiza sana lkn FA ni letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…