Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni sana wakuu ushindi ni ushindi tu....... Malafyale to be honest kipindi cha kwanza ilikuwa hovyo sana nikajisemea hawa ndo watu kweli wanaotaka point 3 kutoka kwangu? At least lastly 15 minutes mmeonyesha uhai.
Ed n Edd nEddy nilikwambia 90 ndo zinaongea hope umefarijika hofu ya sare imetoweka shukuru na mimi nilikuwa nakuwekea dua zangu ushinde,lol. Tukutane hapo kwenu jumapili dah!! Itakuwa njema sana....
Studge inabidi aanzie bench aisee... Kwa gemu ya leo baloteli angefanya vizuri zaidi
6 consecutive away clean sheet
Sturridge, Lallana, Coutinho were below par today
Kwangu, MIGNO is MOTM
Kweli kabisa ... BR anatakiwa ampe Ballo muda kuliko DS maana siku hizi kameanza kuboa
Halafu kama nimesikia kuwa Ballo ni injury ingawa BR hakulizungumzia hili kwenye press conference na swans
Haijapata tokea....
Pointi 3 ni pointi 3 muraa
Title yenu tayari mnayo Mpwa,hongereni sana!
Jumapili tunamfukuza Man U hapo namba 4 na kabla Aprl haijaisha Man City nae namshusha
Nikuulize kitu kimoja, hv mkimaliza msimu huu nafasi ya tatu bila kikombe chochote mtakuwa mmefanikiwa kuliko msimu uliopita au mmefanya vibaya zaidi ya msimu uliopita..?