Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pundit wengi wana sema itakuwa better kama tutaanza na Sterling badala ya Sturridge, ile first eleven vs Man city because of his pace, sturridge anakuwa kama impact subs, kama mliangalia uchambuzi wa Carra na Neville baada ya mechi walizungumzia hilo.
Mi nadhani ile timu ya kipindi cha pili itakuwa bora kama ikianza japo Carra alisema hakuna haja ya kumuanzisha SG, mi naona itakuwa vizuri maana atakuwa na vijana wanamfanyia kazi kubwa yeye atakuwa ni kudistribute mipira tu
Wakuu hivi mechi ya marudiano na BLACKBUN ni lini itachezwa??,
KUMBE LINATAKA 120k SENGE HILI, HUWA SILIPENDI KWANZA!
James Pearce Saying Henderson kakataa mshahara wa 80k per week!!!!!! (SUCH A FUCKING AVERAGE PLAYER)
wakat, juzi juzi tu, COUTINHO kakubali mkataba wa 70k per week, Me kama Cou angekuwa anagomea mkataba mpiya, ningeelewa Aisee,
Kwa Henderson inatia kichefuchefu sana, Waliache lione kama litachukuliwa na team yoyote kubwa lile, Yaan kuna michezaji inaboa sana Aisee,
Na hii ishu itaendelea sana As long as tukiwa tunaendelea kusign Mediocre players..tungekuwa na Kina MK hawa mabwege wasingetusumbua kwenye mikataba, Na leo hii PEARCE katoka kuConfirm we want MILNER (Upuuzi mwingine) unatoa SG unaleta Milner...
Kwa mtindo huu, hawa mabwege si wataendelea kusumbua???, leo hii Henderson analeta kiburi?? kwa kipi alichoifanyia LFC mpaka alipwe zaidi ya 80k per week?? (ambayo hadeserve kuipata hata hivyo)...
Me nasemaga kila siku kuwa, SG atabakia kuwa LFC's LEGEND wa generation hii, Jamaa wakat anatuzawadia UCL, FA cup etc, alikuwa chini ya 100k, na wala hakuleta nyodo wala kusumbua (madrid, chelsea, Ac milan) zote zilimfata, But huyu boya kufunga goals kwenye games tatu mfululizo nae anajiona World class??..80k ni nyingi sana kwa Henderson, asa ukichukulia kina Coutinho hawajafika huko hata kidogo!!!!
TunaOffer sily wages kwa world class talents na huwa tunazikosa kila summer, but now mtu kama Hendo hataki 80k???..kwa kipi cha maana alichokifanya Hendo pale LFC apewe 100k?? kwa lipi????...
Hendo ni Brits lazima alingie upratiotic na watu Wa liver wanaomchukulia kama shujaa na captain msaidizi.....
Kiu kweli anastahili hapate icho kiasi dhen tumuangalie
Sometimes wachejazi kulipwa pesa ndogo inapelekea kutojituma zaidi reference tunayo ya kina Arsenal na Helb na Flamini ndio mpaka Leo imekuwa gagulo
Fundi Hleb usimweke pamoja na Hendo, utakuwa unaudharau mpira Mkuu!!!
Yule Alienda Barca, Huyu Hendo ataenda wapi?? Bayern?, Psg??, Madrid? ATM? Dortmund??, Arsenal?, Chelsea?, Man utd?, Man City?, juventus?, team gan kubwa itamtaka Henderson???..team gani kubwa itamlipa mchezaj kama Hendo 120k???
Umeangalia pale Southampton?? Hendo ana ubavu wa kuchukua namba ya Schenadarin pale?? aanzie wapi????
Ukileta wachezaji kama Pjanic na kina Carvaliho pale LFC, Hendo anakuwa Squad player tu kama Milner kule Man city..
Mchezaji kama Hendo, kutaka 120k, inakuonyesha ni jinsi gani team yetu imekuja kuwa ya kawaida..
Kutoka kwa kina xabi Alonso mpaka Hendo kutaka 120k..
Waingereza wanaliua taratibu soka lao na media yao ikiwa mstari wa mbele. Ndio maana Pellegrini kawauliza juzi, mnataka nisajili English players lakini bei zao nani anazimudu?
Waingereza bana, eti uko nyumba ya jirani Walcot nae anataka uko uko 100K
my first 11 against man U
3-4-3
can, skertel, sakho
markovic, hendo, allen , moreno
lalana ,sterling, coutinho
BR angeigundua formation hii mapema tungekuwepo kwenye draw hii lkn sio mbaya mwakani tutajuwepo