Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msiwe na wasiwasi kabisa wakuu!Man U anakaa Anfield kiurahisi mno

Mgonjwa wao kaanza kunywa uji sasa wana matumaini lkn wamesahau kuwa Liverpool alimfunga Spurs 3-0 kwake na 3-2 Anfield

This should be easy one guys
 

Kama BR akimuanzisha SG, ndo ntagundua he's really becoming an LFC manager.

SG itabid awe kama Impact Sub kwa sasa, ni Big Match ndiyo, But, kama unataka kumuanzisha SG, basi aanze katika Advanced role, na siyo katika Midfield (You just Can't afford to drop JA now, yupo kwenye Form yake kwa sasa)..

But, SG akianza, nataka kumuona katika Role ya Lallana (lallana awe Bench)..na siyo katika Midfield!!

UK, watu wanakusoma, nani anakufanya ufunguke sana uwanjani, Last season, muhimili na movements za magoal mengi ya LFC vilianzia kwa SG, ndo maana aliongoza hata kwa Assists, "Mambo yote yalikuwa yanaanzia kwake"..this season watu wakawa wanapiga pini tu SG, BR akabadilisha mfumo, bado watu wakawa wanapiga Pini SG, sasa katika huu mfumo mpya, SG akicheza kwenye Advanced role habanwi, kwenye hii 3-4-3 akipigwa pini Cou, itabid usubirie tu kudra za kina Henderson na driving power ya CAN..

But dhidi ya Manchester, i'd start RS upfront..

But, waanze, au waanzie bench, DS na MB, mmoja wao lazima atafanya Damage hiyo J2..
 
Huyo jamaa Namchukia Sana!

Angebaki LFC, now angekuwa considered kama LEGEND pale!!

Torres ni funzo nzuri sana kwa RS, siyo kila anachokitaka AGENT na wewe unakifata!!

Career ya Torres imeisha vibaya sana, from one of the BEST ST in the World mpaka kuwa squad player katika kipind ambacho bado Umri unaruhusu Sana.
 
Wakuu hivi mechi ya marudiano na BLACKBUN ni lini itachezwa??,
 
The king himself to cheer the Reds at Anfield on Sunday....

[QUOTE
Pele To Attend Liverpool-Man United Game Sunday At Anfield

Pele will prove Liverpool-Manchester United remains English soccer's biggest game. Not that any further evidence is necessary.

The Brazilian legend will attend Sunday's Premier League game between Liverpool and Manchester United at Anfield, the Liverpool Echo, the Mail and the Mirror reported Wednesday. Pele will witness the Reds and Red Devils face off with pole position for a top-four finish in the Premier League at stake.

Pele reportedly will represent Subway Restaurants, Liverpool's official training food partner, with which he also has an endorsement agreement.

The 74-year-old won't be kicking any balls competitively like he did in his most high-profile visit to Liverpool. Pele played two games for Brazil at Everton's Goodison Park in the 1966 FIFA World Cup. He scored in Brazil's 2-0 win over Bulgaria in his country's World Cup opener. Injury prevented Pele from playing in Brazil's loss to Hungary, but he returned for Brazil-Portugal and hobbled through most of his country's defeat.

However, Pele could use his scout's eye at Anfield, as Brazilians Philippe Coutinho and Lucas Leiva both could play for Liverpool against Manchester United. Coutinho has earned a place in the latest Brazil squad. Lucas is fighting his way back from injury and hopes to work his way up head coach Dunga's midfield pecking order. Fine performances against Manchester United and a recommendation from Pele himself could further their international prospects.

Pele could reinforce Anfield's image as a premier destination for soccer tourism if he enjoys himself and talks publicly about his experience in Liverpool.
][/QUOTE]
 
James Pearce Saying Henderson kakataa mshahara wa 80k per week!!!!!! (SUCH A FUCKING AVERAGE PLAYER)

wakat, juzi juzi tu, COUTINHO kakubali mkataba wa 70k per week, Me kama Cou angekuwa anagomea mkataba mpiya, ningeelewa Aisee,

Kwa Henderson inatia kichefuchefu sana, Waliache lione kama litachukuliwa na team yoyote kubwa lile, Yaan kuna michezaji inaboa sana Aisee,

Na hii ishu itaendelea sana As long as tukiwa tunaendelea kusign Mediocre players..tungekuwa na Kina MK hawa mabwege wasingetusumbua kwenye mikataba, Na leo hii PEARCE katoka kuConfirm we want MILNER (Upuuzi mwingine) unatoa SG unaleta Milner...

Kwa mtindo huu, hawa mabwege si wataendelea kusumbua???, leo hii Henderson analeta kiburi?? kwa kipi alichoifanyia LFC mpaka alipwe zaidi ya 80k per week?? (ambayo hadeserve kuipata hata hivyo)...

Me nasemaga kila siku kuwa, SG atabakia kuwa LFC's LEGEND wa generation hii, Jamaa wakat anatuzawadia UCL, FA cup etc, alikuwa chini ya 100k, na wala hakuleta nyodo wala kusumbua (madrid, chelsea, Ac milan) zote zilimfata, But huyu boya kufunga goals kwenye games tatu mfululizo nae anajiona World class??..80k ni nyingi sana kwa Henderson, asa ukichukulia kina Coutinho hawajafika huko hata kidogo!!!!

TunaOffer sily wages kwa world class talents na huwa tunazikosa kila summer, but now mtu kama Hendo hataki 80k???..kwa kipi cha maana alichokifanya Hendo pale LFC apewe 100k?? kwa lipi????...
 
KUMBE LINATAKA 120k SENGE HILI, HUWA SILIPENDI KWANZA!

Nahisi Hendo kupewa kile kitambaa cha u-captain kina mpa kiburi zaidi

Kwa Cou me ndo huwa everyday nam-praise sijui kwani wachezaji wenye kaharufu ka-uingereza wanapenda sana hela halafu they nothing kwenye pitch

Ningekuwa mimi simpi mkataba if he doesn't what my offer
 
Hendo ni Brits lazima alingie upratiotic na watu Wa liver wanaomchukulia kama shujaa na captain msaidizi.....
Kiu kweli anastahili hapate icho kiasi dhen tumuangalie
Sometimes wachejazi kulipwa pesa ndogo inapelekea kutojituma zaidi reference tunayo ya kina Arsenal na Helb na Flamini ndio mpaka Leo imekuwa gagulo
 

Mkuu hawa madogo wanataka kwenda sawa na DS ama kumkaribia yani walipoona uyu amepewa parefu wote tayari wameamini kua hata wao hawahitaji kua na kiwango kama cha LS7 kupewa ela ndefu, plus Kingine wameshachungulia kuwa baadhi ya wale waliokua top earner yani Gerrard na Johnson wanatoka kwenye team so wanataka wao wapande uko juu. Uyu Hendo alianza kugoma last year. (Yani hapa ni sawa na baba uwe na familia kisha ugawe pesa kwa watoto wako alafu mwengine umpe ndefu wengine kidogo, sasa hawa wengine lazima wakomae kua uwape kama mwenzao ikiwa wanaona kua wako level sawa na uyo mwenzao).
 

Fundi Hleb usimweke pamoja na Hendo, utakuwa unaudharau mpira Mkuu!!!

Yule Alienda Barca, Huyu Hendo ataenda wapi?? Bayern?, Psg??, Madrid? ATM? Dortmund??, Arsenal?, Chelsea?, Man utd?, Man City?, juventus?, team gan kubwa itamtaka Henderson???..team gani kubwa itamlipa mchezaj kama Hendo 120k???

Umeangalia pale Southampton?? Hendo ana ubavu wa kuchukua namba ya Schenadarin pale?? aanzie wapi????

Ukileta wachezaji kama Pjanic na kina Carvaliho pale LFC, Hendo anakuwa Squad player tu kama Milner kule Man city..

Mchezaji kama Hendo, kutaka 120k, inakuonyesha ni jinsi gani team yetu imekuja kuwa ya kawaida..

Kutoka kwa kina xabi Alonso mpaka Hendo kutaka 120k..
 

Waingereza wanaliua taratibu soka lao na media yao ikiwa mstari wa mbele. Ndio maana Pellegrini kawauliza juzi, mnataka nisajili English players lakini bei zao nani anazimudu?
 
Bado siku 2 tu wenzangu wana wa Anfield tuchukue spot ya 4 ya CL tuanze safari ya matumaini ya kumshusha Arsenal na baadae Man City

Man U,Arsenal na Man City hawana namna bali watashuka tu
 
Waingereza bana, eti uko nyumba ya jirani Walcot nae anataka uko uko 100K
 
my first 11 against man U
3-4-3
can, skertel, sakho

markovic, hendo, allen , moreno

lalana ,sterling, coutinho
 
BR angeigundua formation hii mapema tungekuwepo kwenye draw hii lkn sio mbaya mwakani tutajuwepo

Ngoja tufanye kazi turudi uko, dah bonge la robo final. Juve Vs Monaco is the only predictable game kwa watu wengi!!ila hawa FC Porto wanaweza shangaza wengi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…