Nategemea kumuona SG kiungo tumezidiwa sana
Red card yakujitakia hii. Ovyo kabisa
Imekuwaje tena?......... Damn!!
Ngoja nilog off.
Imekuwaje tena?......... Damn!!
Ngoja nilog off.
Gerald kampiga MTU teke kwa makusudi kabisa akiwa hana mpira.
Jamaa kaingia ndani ya 48sec kala red, ila ako kamuda alionyesha uhai, within those sec kafanya touch nzuri. Sijui nini kilimkumba akafanya foul ya kipuuz
Game over sidhani kama tutarudi
Now game OVer!