Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
Game imekua nguvu sana kwetu hii, katikati hatupo kabisa approach ya BR kukaaa na Hendo na Allen kama viungo katikati wakati United wana Carrick, Herrera na Fellaini ime fail, Fallain ana nguvu, na ana uwezo wa kwenda juu, Allen si mtu sahihi wa ku deal na uyu jamaa aiseee, may be aongeze nguvu ya kiungo kwa kuingiza kiungo mmoja Steven Gerrard ili wawe watatu kati . Sioni ushindi kwa hii game plan yake