Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Una matatizo wewe, kudhulumiwa hukuona pale ambapo mnafanyiwa nyinyi. Kwa Gerard ni red card lakini kwa Jones si red card kwa makosa yale yale!!! Mpira unastahili kuwa na maamuzi ya haki kwa pande zote mbili na si ya upendeleo huo ndio mpira si huu mpira unaoupigia debe wewe.

Pole sana...najua unaumia..lakini ndiyo mpira huo chifu...
 
Mechi yenye dramma kibao. Sasa kupata nafasi ya 4 ni majaliwa ..
 

Wapi nimesema kwa Jones siyo red card!? Arifu niaje bana?

Huu ndiyo utamu wa soka 😂😂😂
 
Bado tuna nafasi ya kuqualify for champions league. 8 games anything can happen
 
Reactions: Nzi
Poor approach ya Mwalimu imetu cost, we suffered at Swansea kipindi cha kwanza kwa approach hii hii aliyoitumia leo kipindi cha kwanza. Let us think abt the game
 
Utamu wa soka ni pale timu inapopata ushindi wa haki na siyo ushindi kama huu, unajua kuhusu ushabiki wangu mimi mara nyingi huwapongeza pale mnaposhinda hata kama ni kutufunga gunners, lakini huu ushindi wa kuwa 12 uwanjani dhidi ya 10 siufagilii kwani nanyi mlistahili kabisa kubaki 11.

Wapi nimesema kwa Jones siyo red card!? Arifu niaje bana?

Huu ndiyo utamu wa soka 
 
SG gave them a game

Poor challenge from the most experienced player in the league
 
Hongereni sana Man U......ila mbio za top 4 ndio kma zimekolea, msitu rule out

Nakubaliana nawe kwa asilimia 100...ila ushindi wa leo kati ya hizi timu ulikuwa muhimu kuliko chochote...sasa gap ni 5 points....
 

Sawa basi...lakini bado ni ushindi ama siyo?!?

You are just bitter, admit it...you didn't expect a win and such a performance from United....you are holding into one incidence and forgetting how United were in control of the game...

Have you even talked about this?

 
SG gave them a game

Poor challenge from the most experienced player in the league

Chifu, saluti kwako. Wewe umeongea kama mpenzi wa soka...wengine wanang'ang'ana na incidence moja utafikiri ndiyo ilikuwa decisive kwa game nzima.

Stevie alikuwa amepania sana ili game..ni game lake la mwisho dhidi ya United katika Liverpool's shirt...alianza kufanya foul kwa Mata, lakini refa akupotezea, kisha akaharibu kwa Herrera....

All in all, leo mlikuwa wetu tu toka mwanzo...sielewi nini kiliwakumba...mimi sikutaraji United i-dictate game kama ilivyofanya leo...na kama LvG angekuwa adventurous kama alivyokuwa SAF, leo mngekula mkono...
 
Refa kawapa points 3 leo!Wa kwanza kutoka alistahili awe Jones then SG

Penalty ya ajabu kabisa pia!!

Eh! Nimekusifia kule, hapa umeharibu. Tukio la kwanza lilikuwa lipi? Na vipi kuhusu Sketi alivyomtimba De Gea dakika za mwisho?!?

Uzuri wa mpira wa Ulaya, kila baada ya mechi kuna match reviews...na timu zimepewa uwezo wa kukata rufaa kwa card incidences..na FA wanauwezo wa kumwadhibu mchezaji baada ya hizo reviews, hivyo kama Jones ni halali yake kwa ile tackle lazima atapewa adhabu kama atakavyopewa Sketi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…