BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Una matatizo wewe, kudhulumiwa hukuona pale ambapo mnafanyiwa nyinyi. Kwa Gerard ni red card lakini kwa Jones si red card kwa makosa yale yale!!! Mpira unastahili kuwa na maamuzi ya haki kwa pande zote mbili na si ya upendeleo huo ndio mpira si huu mpira unaoupigia debe wewe.
Pole sana...najua unaumia..lakini ndiyo mpira huo chifu...