Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo umenena
 
Attachments

  • 1427171695792.jpg
    9.5 KB · Views: 76
Last edited by a moderator:

Mkuu swala hapa ni kwamba BR approaching yake ktk timu kubwa imekua ni mbovu na hasa kutokana na kwamba anapenda sn kutaka kuwafunga makocha wakubwa au timu kubwa ili ajisikie fahari na hii inapelekea kuandaa timu yake vibaya na kujikuta akipigwa hapo hapo.....

Msimu uliopita mlimfunga ManU chini ya David Moyes lkn hii ManU chini ya kocha mwenye akili na nidhamu mzee Van Gaal BR ata pata taabu sn kuifunga ni sawa na kwa Mourinho anavopata tabu pia.....

Mzee Wenger anakuandalia dawa yako tu ipo siku atakufunga hapo kwako na hautoamini....utabaki kugawana point na Pellegrine tu na yeye siku City wakia ktk ubora wao jongoo atachinjwa hapo hapo kwenu na kuliwa.

Unaweza ukaniambia ni kwanini mlicheza ktk kiwango kibovu na Swansea? Unaweza kuniambia ni kwanni BR aliweka benchi wacheza wazuri ktk mchezo wenu muhimu wa UEFA pale Madrid? Je, alipata matokeo mazuri ktk mchezo uliofata?
 
Skrtel kukosa mechi na Arsenal ni pengo sana!Huyu ni moja kati ya CB bora kabisa kwa sasa EPL

Sakho alikuwa bora kabisa ktk game na Man U sababu anajua akikosea Skrtel ata cover,sasa atacheza Lovren daaah

lovren anae wenge sanaa sijui hata itakuaje
 
Unaweza ukaniambia ni kwanini mlicheza ktk kiwango kibovu na Swansea? Unaweza kuniambia ni kwanni BR aliweka benchi wacheza wazuri ktk mchezo wenu muhimu wa UEFA pale Madrid? Je, alipata matokeo mazuri ktk mchezo uliofata?

Unaweza kuniambia kwa nn mlicheza soka bovu na Newcastle?Unaweza niambia kwa nn uli struggle kwa Soton?Sometimes hata makocha wazuri kuna siku mbinu zao zina shindwa

Mkuu Man U ningekuwa timilifu asingenifunga,nakuambia tena SG kawapa Man U game hii na hasa ni mahasira yake ya kuwekwa benchi mechi muhimu kwake ya kuaga kama hii
 
Mbona maswali yangu haujibu wewe na unakuja na maswali yako mengine? Nimeshakwambia hivi km Rooney angemuachia JuanMata apige ule mkwaju wa penalty mlikua mpasuke tu ata km mngekua 11 maana msingerudisha ta km ManU wangekua na beki mbovu km ya timu ya MGAMBO.
 
Still a pissed off me. I can't live with that Manure defeat...

This is from here....Brendan Rodgers has Two Weeks to Fix a Broken Midfield and Save Liverpool?s Season - The Liverpool Offside

Mkuu Man U ningekuwa timilifu asingenifunga,nakuambia tena SG kawapa Man U game hii na hasa ni mahasira yake ya kuwekwa benchi mechi muhimu kwake ya kuaga kama hii

Yaani wewe bado unajitutumua tu? Ulipaswa kuwa umepewa bakhshishi yako.

Hivi, kumbe kabla ya Gone in 38 seconds' hajatolewa, Loserfools ilikuwa ikiongoza? Kweli ilikuwa nbele kwa bao 1-0. Kisha alipotolewa, wakafungwa magoli 2!

Wewe jamaa ni mweupe sana. Hakuna hoja yoyote ya maana unayotoa sasa zaidi ya kujiweka uchi tu humu.

PSG waliweza kupata droo nyumbani kwa Rentboys wakiwa pungufu. Kipi kiliwashinda Loserfools kupata angalau droo?

Chifu, kuwa mpole tu. Kubali ilipigwa goli 2-1, kisha jipange kwa game ijayo.
 
Umehama kwenye point yako mfu kama Man U ilitawala soka sasa unakimbilia mifano ya PSG?

Tukikuuliza huko kutawala soka unakosema Man U walitengeneza nafasi ngapi nzuri kipindi cha kwanza unabaki kupepesa macho tu

Kucheza pungufu kwa dakika 51 na kuweza hadi kufunga bao inaonyesha jinsi gani team yangu ilivyo imara!Bayern wamemfunga mtu 7-0 kwa kutumia nafasi ya upungufu!Mfano wako wa PSG unakuwa hauna maana na matokeo ya Bayern na Wale warusi!

Sijapata ona mtu mweupe kwenye uchambuzi wa soka kama ww jamaa!
 
Tisha-TOTO ni kweli tume struggle mechi hizi kati sababu ya kuumia kwa Lucas na SG

Uzuri ni kwamba tuna weeks 2 za mapumziko na Lucas kapona na ataanxa Emitares

Wanao chonga kama tutafungwa Emirates wanajifurahisha tu
 
Last edited by a moderator:

Sawa basi 😂😂😂
 
Sawa basi 😂😂😂

Mm sipo bias kama wewe na niliongea hapa baada ya mchezo wenu na Man City

Man U alipoteza mechi na Man City sababu ya uzembe wa kadi nyekundu ya kujitakia beki Smalling!Jinsi Man U alivyocheza mechi ile wangekuwa wako wote 11 Man City angechapwa kiurahisi tu

Lkn Nzi anajaribu kusema hapa kadi ya SG haikuathiri chochote ktk mechi hii!Haya naheshimu mawazo yako
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Wakuu wenzangu msivunjike moyo!Kumbe SG alichukia sana kuwekwa benchi mechi yake ya nwisho ktk EPL kucheza na wapinzani wakuu!Hata mpira wa kwanza kabla ya kadi alionyesha hasira tupu

Lucas kapona na kizuri zaidi tuna weeks mbili za mapumziko!Tuzidi kushikamana maana soka lina kufungwa;sare na kushinda
 
Yule Sturridge kaumia, je atakuwa nje kwa kipindi kirefu au ilikuwa ni namna ya kukacha kwenda kuchezea timu ya Taifa ili apate mapumziko?

Yule Sturridge kaumia, je atakuwa nje kwa kipindi kirefu au ilikuwa ni namna ya kukacha kwenda kuchezea timu ya Taifa ili apate mapumziko?
BAK Ndugu yangu najua sasa unayaogopa sana Majogoo hasa yalivyo jeruhiwa week ya jana

Hasira zangu namalizia Emirates
 
Last edited by a moderator:
mkuu unaongelea penalt kutopigwa na mata kwani rooney si alipiga lakini kipa mpira akaufata basi na huyo mata nae huwezi kujua pengine na yee angalipoteza kuliko hata rooney . penalt aliipiga vizuri tu ila kipa aliifata
 
acha kukariri huyo man u kapigwa na swansea sembuse man city?
 
karibuni emirates looserfools...siku ambaya tunayazika matumaini yenu ya big four
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…