Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ha ha ha ha Balotelli eti mechi kama hii ndio ana perform vizuri
 
Cha pili kimeanza, players wote waliingia wakabaki Torres na Suarez kwenye tunnel, kisha wameingia uwanjani pamoja tokea tunnel wakishangiliwa wakati wenzao wakiwasubiri kwenye pitch
 
Good one two kati ya Gerrard na Torres aiseee yani kama ile partnership yao ya zamani
 
Carragher anavyowakaba Torres na LS7 ha ha ha ha hawapi chance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…