Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Karibuni OT sasa maana mkopo wangu umeisha kule loserfool.
Hongera Arsenal kwa ushindi mnono.
Poleni loserfool kwa kipigo cha aibu.
 
Rafiki zako wanakutafuta kule jukwaa la Mbu na Wacha1 mkachambue mpira baada ya dakika 90 za 4-1.
 
Arsenal walikuwa bora dimbani kwenye kila idara zaidi yetu!Pengo la Skrtel na SG limeonekana dhahiri

Bao la kwanza Kolo Toure mguu umekataa kupinduka,goli la 2 na la 3 Mignolet alijipanga vibaya na bao la 4 sababu tuliisha kuwa pungufu
 
Poleni sana bado mna FA mkikaza mtalipa kisasi.
 
I wil always be a fun we lost but life goes on,mi nafikiri hakuna mtu wa kumlaumu,the whole team was very. poor.!
 
Nonda yani nimecheka sn mkuu! Malafyale kiboko mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hebu twende PM tukaambizane namna ya kutafutana. Hapa pamekuwa pachungu.

Nilikusahau mpenzi. Unajua tena maumivu kila sehemu mpaka nachanganyikiwa.

Pole sana, naja chap chap ila nivumilie nami nina kakimeo kanaanza muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…