Hivi tatizo ni manager au wachezaji???
Manager, safu ya ulinzi tunamtegemea skertel na hauyupo, anawekaje sakho na Colo kwa mfumo ule ule Wa 3 nyuma, kati Lucas aliote mapema sana, toa can arudi kati na ingiza Flanagan, na huku mbele bora umuweke cou kuliko RS
hivi tatizo ni manager au wachezaji???
OK....
Lakini.....
Wachezaji na Manager
kuwa shabiki wa lfc unahitaji kuwa na moyo wa chuma aisee.
Hivi tatizo ni manager au wachezaji???
Asante Mkuu!!aisee tuko pabaya sana
Ni kweli mkuu!
Lkn vzr nilitumia neno Lazima mfungwe ukawa unakataa? Ili make vzr mrudisheni Benitez
Ukienda kucheza kamali na kina Janjaweed huku ukijua fika kuwa maumivu ni guaranteed, ukila utachezea kibano, ukiliwa unaweza ukachezea makonzi vilevile, utachagua muda gani? Si bora mchana ukizidiwa hata njia inaonekana!