Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi tatizo ni manager au wachezaji???

Manager, safu ya ulinzi tunamtegemea skertel na hauyupo, anawekaje sakho na Colo kwa mfumo ule ule Wa 3 nyuma, kati Lucas aliote mapema sana, toa can arudi kati na ingiza Flanagan, na huku mbele bora umuweke cou kuliko RS
 
Mocha anashindwa hata kusoma mechi inahitaji nini na kwa wakati gani, yule do go RS ni kuuza tu hana analofanya kulilia pesa nyingi tu
 
Manager, safu ya ulinzi tunamtegemea skertel na hauyupo, anawekaje sakho na Colo kwa mfumo ule ule Wa 3 nyuma, kati Lucas aliote mapema sana, toa can arudi kati na ingiza Flanagan, na huku mbele bora umuweke cou kuliko RS

OK....

Lakini.....
 
You don't want money, cars and house you just need only cup ... Hahaaa she's very pathetic (I put she over he, sorry)

Leo mpaka hii wiki iishe nipo katika kipindi kigumu sana
 
really dissappointing results I hope tutasahihisha this sh*t kwenye FA cup, best of luck liverpool
 
Hivi tatizo ni manager au wachezaji???

Binafsi naona ni manager maana huwa anakosa sana mbinu team ikiwa imekosa muelekeo, ila Kama tunamuhitaji basi tuvumilie sana wakuu. Sioni kama ile miaka mi5 alioiomba kama ataweza kubeba epl, Blive me tulihitaji kupoteza game moja tu ili tupotee katika hizi mbio za top4, kilichokua kinai drive team muda wote hapo awali ni ile spirit ya kutokufungwa mwaka huu tu na si kingine.
 
Sometimes huwa sioni tofauti kati ya Jordon Ibe na Raheem Sterling...labda nachoona kinachoweza kuwatofautisha ni MUDA WANAOPATA KUCHEZA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA!!


P'se BR sale this young boy.
 
Ni kweli mkuu!

Lkn vzr nilitumia neno Lazima mfungwe ukawa unakataa? Ili make vzr mrudisheni Benitez

Ku predict matokeo ni jambo la kawaida ktk soccer Mkuu, ila huwa hatulazimishi tulicho predict kwa kusema ni "LAZIMA" kitokee, Big up kwa good prediction.

I'm a big fan of Rafa na mbinu zake, ila sidhani kama FSG wanampango na uyo mtu. Nadhani Tumsahau tu, tutazame wengine ama uyu tuliyenaye.
 
2747734600000578-3025492-image-a-102_1428155057200.jpg


Hope things will change!!.....Let us go to Ewood Park
 
Back
Top Bottom