Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu dogo ni kuuza tu, kinachomfurahisha ni kipi
 
Attachments

  • 1428314692268.jpg
    36.6 KB · Views: 104
Strong rumours, ni kuwa BR blamed the players kwenye dressing rooms baada ya kipigo cha bao NNE!
 
Kuna tetesi pia kua Jordan Henderson naye amegoma tena kusaini mkataba mpya wa 80K/week akitaka 100K/week
 
Gerrard si bado ile adhabu inamfuata hadi huku kwenye FA au?

Nina wasiwasi sana kama mtatoboa hiyo game kwa kweli.
 
Gerrard si bado ile adhabu inamfuata hadi huku kwenye FA au?

Nina wasiwasi sana kama mtatoboa hiyo game kwa kweli.

SG, Emre Can, skritel, Ibe, wote hawapo!

Nahis itabid turud kwenye back 4!

Kolo na Allen wasianze kabisa Aisee! Lovren then Lucas and hendo in the middle!
 
SG, Emre Can, skritel, Ibe, wote hawapo!

Nahis itabid turud kwenye back 4!

Kolo na Allen wasianze kabisa Aisee! Lovren then Lucas and hendo in the middle!

Allen asicheze wakati no mtt wa BR, hapo atakuja na mfumo wake ule ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…