Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeingia CL ni mchezaji gani world class alimsajili?
Mimi niwaombee heri angalau Mfutwe machozi kwenye hii FA,lakini yapo mengi yakurekebisha msiruhusu mbanwe kama last match.
Cc Malafyale Ed n Edd nEddy na #LFC fans
Asante mtani maana hali yetu ni mbaya sana hadi nikashindwa kuja kukupa hongera ya goli LA rooney
Usijali mtani kichapo kilikuwa noma hata nami nikaona so kuquote, tuko pamoja FA mtachomoa
Gerrard si bado ile adhabu inamfuata hadi huku kwenye FA au?
Nina wasiwasi sana kama mtatoboa hiyo game kwa kweli.
Bila new owners LFC itabaki kuwa timu ya historia tu.
These American owners are so stingy.
SG, Emre Can, skritel, Ibe, wote hawapo!
Nahis itabid turud kwenye back 4!
Kolo na Allen wasianze kabisa Aisee! Lovren then Lucas and hendo in the middle!
Na nilikuwa na hasira sana siku ile