Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Fair analysis, mkuu.
 

Mkuu Umemaliza kila kitu hapo.
 
Aende kwenye 4-3-3 au 4-4-2!

Hatuna midfield wa maana wa kuhold mipira kwenye hiyo 4-1-3-2!

Akienda 4-4-2, basi iwe 4-4-2 Diamond si mbaya!
-----------------------Mig-----------------------
Manq-----Lovren----Sakho-----Moreno
--------------------Lucas-----------------------
-----------Hendo----------Cou-----------------
--------------------Lallana---------------------
---------Sturridge---------Sterling-----------

Hapo kwa Manq, Emre akirudi atasimama yeye, sabab iyo 4-1-3-2 nilikua naangalia sana namna ya kusaidia ukuta kua strong, maana hatuna ukuta kabisa ile gel ya 3-4-3 imeshapotea, can't imagine Kolo/Lovren kusimama na Sakho
 

Hapo kwa Lallana, ningemwanzisha Lazar!
 
Mkuu ericford kuna utani huwa unaletwa ila hili siyo jambo la utani vema ukatambua hili ni jukwaa la sports ulipofika siyo sahihi kabisa
 
Last edited by a moderator:
haya jaman watani...mnisamehe

Mkuu hii ni soccer tu, ndio maana hata ushinde ama ufungwe 10-0, bado game ikiisha tunapeana mikono!!P'se fanya ustaarabu tu kwa kuiondoa.
Tuna kila sababu ya kukusamehe tukiamini may be furaha yako ilipitiliza kwa ushindi wa juzi, but la msingi ni wewe kuiondoa picha iyo kwanza.
 
Kwanini mpk sasa hiyo picha bado ipo?
@modirator Invisible nawaombeni mtusaidie kuondoa picha hiyo!
 
Last edited by a moderator:
ericford itoe hiyo picha hapa tafadhali

Hauna adabu na haujafunzwa vyema ulipotoka!Majukwaa yote ya sports hapa tunatembeleana na tunapeana changamoto kwa lugha za heshima

Msamaha wako hauna maana kama utagoma kuitoa picha yako hapa

Ww ni kijana wa hovyo hovyo kabisa kupata kumuona
 
Last edited by a moderator:

Jamaa analeta ujinga wa kwenye facebook!
 
Next time ikitokea kitu kama hicho hakuna haja ya kuwatafuta mod we bonyeza Report Abuse tu kuna mod wako active watachukua hatua na sio lazima umtag Invisible huenda hayuko online

Thx Belo
Mambo km hayo yanauzi sn.
 
Last edited by a moderator:

Tuendelee kusemezana ili tutibu chanzo halisi cha ugonjwa wetu na si dalili za ugonjwa....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…