Mechi ya leo lazima tuue baada ya kuwakunguta vigogo wa dunia Manu na Real , tupeni chaneel ambayo mechi inaonyeshwa live
3-0 L'pool wako mbele
Oh boy.....kama naziona nne,tano, sita vile.....
...mnnnh?!, ...mimi naona wewe Belinda, tena kwa makusudi ndio unawazidishie presha hao Man U πππ
mie 'chichemi, - Chimo!!!'
...aaaaah, hapana msiwafanyie hivyo... kwani Netiboli hiyo? BTW, A' ViLLA hawajafanya kibri kama Man U!
...anyway, watungueni tu, mwisho wa ligi kuna uwezekano bingwa akaamuliwa kwa idadi ya magoli π
Oh boy.....kama naziona nne,tano, sita vile.....
Nne - vizuri
Tano - vema
Sita - vema sa.... oops bado tunafanyika kazi
Oh well, kusema ukweli ushindi huu mkubwa wala siufurahii sana. I always envy Aston Villa. Hawastahili kipigo hiki.
...aaaaah, hapana msiwafanyie hivyo... kwani Netiboli hiyo? BTW, A' ViLLA hawajafanya kibri kama Man U!
...anyway, watungueni tu, mwisho wa ligi kuna uwezekano bingwa akaamuliwa kwa idadi ya magoli π