Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ayre baada ya kukamilisha deal ya Moreno kwa £12m tu....
Ayre baada ya kukamilisha deal ya Moreno kwa £12m tu....
Mkuu cjakuelewa bado.
JUST IN, kumbe Pepe Reina alimwambia Moreno kuja LFC ni bonge ya opportunity ambayo hatakiwi kuikataa..
Thank You Pepe..You'll always be a Legend Man..
Hapo sawa ukuta wa liverpool sasa hautatutia jambajamba mashabiki make ilikuwa 2kigeuziwa kibao cha mashambulizi unasikia kabisa tumbo la kuhara linaunguruma.
Jamaa natizama game imeisha Real na Seville naona anawakumbatia wenzake analia Moreno so deal itakuwa tumemalizana nao akitoka hapo kwenye gari Cardiff to Liverpool City.Karibu jembe langu at Anfield
Jamaa natizama game imeisha Real na Seville naona anawakumbatia wenzake analia Moreno so deal itakuwa tumemalizana nao akitoka hapo kwenye gari Cardiff to Liverpool City.
I am touched with the way Sevilla embraced Moreno... the emotions speak volumes
He must have been a great guy in Sevila
Huyu Mignolet simpendi kabisa