Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
Uwenda tukamuongeza kipa wa Baca for free transfer
Ni keeper mzuri ataleta changamoto na uzoefu pale kwa keepers wetu... its a good move of which I support!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwenda tukamuongeza kipa wa Baca for free transfer
Kuna siku gani ushaona nimeiponda Diamond au xmas tree formation hapa?? Wakati hizo ndo formations ambazo zilileta mafanikio last season!!!, na unajua ni kwa nini BR alianza na 4-3-3 katika game mbili za kwanza????
Unajua kwamba Katika 4-3-3, Hendo huwa anaPerfome vibaya??? The same to coutinho??
And ooooh!!!, unasema nilisema MORENO ni m-bovu last week, Really??..nioneshe sehem niliyosema MORENO ni M-bovu??..ulikuwa unafatilia posts zetu za usajili??..who was so.excited about us signing Moreno?? Apart from akina Pazi, Magnificent, Janjaweed na kina Tores????
Nimeanza kumjua Moreno tangu yupo Seville ya kina Rakitic mwaka Juzi, Tangu kipindi kile RMA walipokuwa so close kumsajili BUT walihairisha kutokana na Coentrao form ya msimu uliopita na Carvaraj..na hayo tushaongea sana na kina Pazi humu..
Nilichosema Week iliyopita Man City was a BIG GAME for Moreno's DEBUT, it was a tough TEST for him, and we both saw that siku ile na kilichonipelekea kusema hivyo ni kutokana na kwamba hatukuwa naye kwenye pre-season yote, mbona sikusema kuwa Lovren na Manquillo ilikuwa ni tough debut kwao against Southampton??? Coz southampton ni Average team..
MAN CITY, was a BIG TEST kwa Moreno, na kama unajua football utakuwa unajua nini maana ya DEBUT katika big games tena AWAY na unacheza na mtetezi wa LEAGUE..
Na huwez kamwe kufananisha approach ya game kama ManCity vs Stoke na ManCity Vs LFC, (hii ilikuwa game kati ya TWO TOP TEAMS katika EPL last season), so usingetegemea Pelegrin aje na mbinu kama za stoke city, Na itabidi ujue inamaanisha nini kwa kocha kushinda katika BIG MATCHES, jana kafungwa na Stoke city kwake Etihad, Lakini in TWO WEEKS, anaenda kucheza na Arsenal pale Emirate...utashuhudia mwenyewe..
Afu kitu kingine kama huwa unasoma Posts zetu kimya kimya, uwe unajitahid kuzisoma kwa umakini sana, kwani tukifungwa na tukiweka mijadala na ideas zetu humu huwa mnakaa kimya TU, na TUKISHINDA, mnajaa humu na kuanza kutoa comments za UONGO kama hizo (eti nishawahi kusema Moreno ni M-bovu!!!!!!)
Me ni shabiki wa LIVERPOOL na LFC hainilipi mshahara wowote kama kina BR, Poscoe, Marsh, Morgan na Players, Na ikiboronga wenyewe watajipoza na mishahara yao MIKUBWA, na mwisho wa msimu wanaenda na wake zao fukwe za IBZA au COPA CABANA kula raha, me nitabaki na Maumivu yangu tu na mwisho wa mwezi nitakatwa kama kawaida HELA katika my A/C kwa ajili ya LFCTV na Ile ya Membership ya Club, for whic hainisaidii chochote kile, Lakini kutokana na mapenzi yangu kwa LFC, nimeamua mimi mwenyewe kufanya hivyo, so ikiboronga kwa makosa ya kipuuzi lazima nilalamike sana humu, coz ni mimi ndiye ninayeumia zaidi kama Mshabiki na siyo kocha wala Players, coz wenyewe wanafanya kazi wapate mshahara, ndo maana leo hii AGGER AMEONDOKA LFC.
Na humu ndani muwe mnajitokeza kila siku kama LFC ipo mioyoni mwenu, IKIBORONGA AU IKISHINDA, muwe mnajaa kama leo humu, kina Pazi, The Magnificent, Tores, Malafyale, osokonoi, Ed, The Boss, Janjaweed Blac kid Gwamahala, +255, Mzee Wa Rubisi Amanijua @Punein wenyewe pia wana shughuli zao kibao za kufanya lakini kila siku wanapitia humu na KUCOMMENT katika mijadala mbalimbali katika kuifanya thread hii kuwa ACTIVE kila siku, lakini nyie wengine mnasoma kimya kimya humu, team ikushinda (which is NOT bad kwa shabikj yoyote yule), lakin kinachoboa mnaquote comments za watu wrong, kwa dhihaka na dharau.
Me nishawahi kusema MORENO ni M-BOVU???
Kwa mfano Arsenal wametoa draw leo na LECESTER CITY, kwahiyo itakuwa dhambi kwa kina Mbu na kina BAK, Kumlaumu WENGER kusuasua kuleta DM na ST mzuri???..kwa kuwa kisa tu ni Wenger??? Ndo asilalamikiwe???
BR akikosea nitaendelea kumkosoa kama kawaida..akishinda nitampongeza yeye na players wote..thats what a REAL FAN who loves his CLUB anafanya! PERIOD.
Naje wakubwa ynwa....cjui kama niko sahihi ila naona kama markovic is another aspas
Suarez and the Boys wakati alipoenda kuvisit MELWOOD today..
kaka salama? hatuonani siku hizi; uko bize na usajili?
napita tu, juzi nilikuwa nafanya 'fujo' nyumba ya jirani na wewe..
tutakutana tu nadhani Novemba.
Hii ya Kolo Toure ni taarifa njema kwangu aisee! Baadae nashushia safari ya motooo! Thanks kwa news mkuu.
Naje wakubwa ynwa....cjui kama niko sahihi ila naona kama markovic is another aspas
Bolin tumeuza mojakwamoja £12m QPR
Falcao to Manure ni homa kali
Jamaa atatutungua tu
...Imagine yalitokea juzi dhidi ya man city, Wachezaji watatu waumie kwa mpigo..lovren aumie, Sakho/skriter aumie..afu hapo hapo ushamuuza Agger, coates umemtoa kwa mkopo, illori kwa mkopo, wisdom kwa mkopo, kelly ushauza, afu j5 ndo unacheza na madrid, back line itakuwa sakho/skritel na kolo???...
Wakuu kama siamini kuondoka kwa Agger.nahisi km ni ndoto.najaribu kuwaza ni nani atavaa viatu vya agger?especially ktk uongozi (VICE CAPTAIN)? Mi binafsi namfikiria Hendo......sijui nyinyi wakuu......cc Mosdef, Magnificent, Janjaweed, Malafyale, Pazi, Blac kid, Osokonoi, Mzee wa rubisi, Gwamahala. .......maoni yenu hapa jamani.
Falcao to Manure ni homa kali
Jamaa atatutungua tu
Mosdef,Pazi,The magnificent,Black kid, Mzee wa rubisi,Osokonoi,Mentor, Gwamahala & Co tafuteni muda muangalie tena perfomance ya Joe Allen.
Hakika ndo man of the match katika ushindi wetu wa jana.
Mkuu MosDef, sorry kuna paragraphs ambazo nimezikata kwenye ulichoandika
Aisee hiki kipande nilichokinukuu, nilipokisoma at first time nilijikuta nimesema Mungu epushia Mbali! Daah, haya mambo sijui yanakuwaje By the time tulipomsajili Lovren tulikuwa tunajivunia kuwa ni moja ya timu yenye CBs wazuri na wakutosha. Lakini kwasasa baada ya kilichotokea kwa Dagger, Illori, Wisdom, Kelly na Coates..taswira imebadilika kabisa aisee
Apart from BPL, BR would like to see our team doing well on other competitions. Hii inaweza kutupeleka na kujikuta timu inacheza up to 60 matches.
Sasa angalia, ndiyo kwaanza hata jogoo hajawika, skrtel is side-lined, thanks kwamba Lov uses both legs la sivyo gemu na totte ingebidi babu kolo kucheza na Lov with only Sakho at bench. Hii ni hatari.
Mara nyingi ni vizuri kuangalia maendeleo ya timu after 15 games. Nimeangalia fixture zetu nikaona kipindi cha kufiakia idadi hiyo ya mechi, kinategemea kuwa mwezi wa kumi na moja. Sasa angali balaa kwenye huo mwezi
----------Sat/ 1---------Newcastle-----Away
----------Tue/4---------R-Madrid-----Away
----------Sat/8----------Chelsea-------Home
----------Sun/23--------C-Palace-----Away
----------Wed/26-------Ludogorets------Away
----------Sat/29---------Stoke City-------Home
Huo mwezi umebana sana na lazima kutakuwa na majeruhi halafu imagine back up ya CB ni Kolo!