Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tumegoma kushinda game sio hehehe wachezaji walikuwa kwenye mgomo wanataka mpaka Man U mtufikie Tuanze moja na nyie sio, sababu sie na nyie tunaogombania nafasi ya 4 tukubali tu sasa tukienda sie kasi bila nyie Kuwa karibu wakati nyie ndio wapinzani wetu haitokuwa haki so liverpoolfc 0- Aston Villa tumemuachia 1.Pazi ebana nipo huku Itigi net hamna kabisa, naomba nipe matokeo leo tumempiga ngapi Villa..... Mario katupia mangapi?
Mie napenda wachache Kama wewe wanakubali Kama timu imechesha tutasema tume chemsha kuhusu Uswahili hata Mie nakubali uswahili ni hazi Kuwa Mswahili ukirudi nyuma enzi za 70's japo wengine hatujaishi huko 70's, neno Mswahili na tabia na maana yake watu walikuwa wanatamani wote waitwe Waswahili ni miaka hii tu neno Waswahili limeharibiwa maana yake halisi sawa na kiswahili wengi tunakosea kuandika kiswahili na hatukosoani kwenye kuandika kiswahili ila English makosa tutaonyeshana mengi mtu yupo tayari aseme yeye Kama English Man ila sio Swahili!i was comparing Balo na Falcao, hayo ya kufungwa every team will lose, it is soccer not "bedminton"
we lacked forceful penetration today, kumbuka hata tulizopoteza last season, we showed conviction to creating and fighting, today we played something different
Kuhusu ushabiki wa kiswahili, NAKUBALI, mimi nimswahili pure, na siachi uswahili kabisa... any my club will get a lot of sticks if they dont realize that there is a multi-year plan and short term targets vilevile
Hujasoma Mirror kwamba Mario kafunga Liverpool ila sio Anfield tafuta gazeti! Au Gugo!Pazi Kwahiyo Super Mario hajatupia? Alikuwa anafanya makusudi kutofunga? Kwa beki yenu hiyo ule mziki wa mbele unaotisha mtaujua vizuri
Salama mtani.....(nyie ndo watani zetu wa ukweli....sio chelsky,arse5-1(hawa hawajawahi kuwin champions ligi tangu wazaliwe.....cc Wacha1))
Back to the topic...: Luis alitaka kuondoka ndugu yangu,sa sisi tungefanyaje....? Maisha lazima yaendelee...we wish him all the best there at BARCA......
Pengine kuondoka kwake kutawapa chance kina Raheem kushine,Markovic na wengineo......one thing for sure,mwaka huu tuna depth ya kikosi....sidhani kama tutamaliza nje ya top4......sidhani kabisa.....!
Wape Hi Manure wenzio.....na kesho mnachapwa tena na ka-QPR..........hahahahahahahahah...!
#RedOrDead #LFC #YNWA.....
Naenda kuangalia game ya Arse5 na City.....i will be supporting Arsenal Today(namchukia sana Samir Nasri,ana mdomo mchafu kama Diego Costa)....japokuwa droo itapendeza saana kwangu mimi........
Aione agosti 8
Am very sad...!
Duuh naona Jogoo ataendelea kuwa kitoweo tu.
Teh teh teh teh teh wapi Pazi??
Mmmmh hongera ya kushindwa! sio vzr kejeli mkubwa
Guys tulieni... mtaona mambo... makosa yapo na tunajifunza kutokana na makosa.. liverpool will come good... see u on tuesady...
Tunajipanga kwa champion league...
.......hahhahhha! E bana wameumia kweli hawa jamaa, wengine wameanza jiapiza kutoangalia wala kusikiza mpira wa Liverpool....khaa?! 🙉🙉🙉
........#Dracula aliwabeba sana last season, msimu huu wajibebe!