Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mahitaji yenu ndo hayo?? Kufungwa na a. Villa??

kwan angekuwepo tungeshinda zote???..okey labda iyo inaweza ngumu kwako kuelewa,,,labda nikuulize iv "msimu uliopita tulishinda mechi zote alizo cheza suarez???.....fella issue ni kwamba tutafungwa tena na tena coz ndo ligi nando mchezo wa mpira, so usishangae a.villa kutufunga ata last season alitufunga lakin uliona kwenye msimamo wa ligi tulikua wangap..labda kwenye kichwa chako unajiaminisha kuwa timu yako itamaliza ligi bila kufungwa??? Ngoja tusubir.
 
Mahitaji yenu ndo hayo?? Kufungwa na A. Villa??

mkuu, just play humble

winning and losing is part of the game, last season Man City who are the champions lost to clubs which were about to be relegated

It is too early to judge anything

It seems you have some type of ushabiki maandazi kuliko soccer, ni zile type za kupenda ubishi hata pasipo na ubushi

we lost the game, we were not good enough, period

Mengine, funga sphincter, tuendelee na kuangalia soka
 
Liverpool will bounce back tomorrow!Will bounce back even stronger than this!

Mwaka jana mechi ya 2 na Southampton tulifungwa,tukaenda mechi ya 4 na Swansea tukapata sare!Hamna cha ajabu hapo ndugu zangu(Pazi, Tores Magnificient Gwamahala)

This Liverpool is much better than last season!
 
Last edited by a moderator:
Liverpool will bounce back tomorrow!Will bounce back even stronger than this!

Mwaka jana mechi ya 2 na Southampton tulifungwa,tukaenda mechi ya 4 na Swansea tukapata sare!Hamna cha ajabu hapo ndugu zangu(@pazi, Tores Magnificient Gwamahala)

This Liverpool is much better than last season!

sawa mkuu...tupo pamoja kesho tunawaangalieni kwenye champions league kila la heri....
 
Teeteh teeh wewe ndiyo upo kwenye ile team ambayo kesho kwa mara ya kwanza mnakosa kucheza CL?Hadi mkaingia mkataba wa kishetani na Falcao ili angalau mcheze CL??
 
Yes......and that may be blessing in disguise.......
 
I can't see us playing UCL the coming season....i really can't..(my thoughts are based on our recent performance...)...mkuu MosDef...naona umejipiga ban brother...au ndo bado roho imechafuka...?
 
Last edited by a moderator:
Jembe lipo nje
1410768504738_Image_galleryImage_Picture_Shows_Emre_Can_Se.JPG
 
I was so surprise when I watched interview ya Pellegrini…I’m glad BR ameonyesha kwamba he is wiser. Of course kutokana na performance ya last season, timu zote utakazokutana nazo will toughen up or use any kind of tricks…dirt or not, tofauti na last season and that is what to expect when your doing well, unless you don’t want to be Klitschko!

The reality is that Villa came to Anfield trying to kill the game, got lucky in the sense that they scored early, and were able to just sit back from that point onwards, dropping their wide midfielders so deep and tucking their full backs in so much that they effectively played 6-3-1. Chelsick did the same on last season and now that timu nyingine zimeona kwamba parking the bus will work against the might red then, BR ana macho na hakuna sababu ya kuambiwa tazama.

Kung’ang’ania kupitisha mipira katikati wakati kuna msitu wa watu ilishindikana…coutinho… and I was hoping kuona manager goes for plan B or C or what ever alphabet you might call…Villa have been physical all over kwahiyo kumwingiza Borini sikuona kama ni sawa, I could have sub Marko for rickie. And because he is fresh then ningempa kazi ya kudistract senderos, that could have give Mario more room…

Mario was so quiet and I think haya mambo ya club kung’ang’ani kumtaka kuplay low kunatuletea madhara. What Senderos did to him deserved a red. I think at sometimes they should allow him to unleash the devil…mazoea yanazidi!
 
Mario Balotel
 
Attachments

  • 1410810185470.jpg
    1410810185470.jpg
    44.7 KB · Views: 74
  • 1410810222571.jpg
    1410810222571.jpg
    36 KB · Views: 63
Back
Top Bottom