Lovren is eager to impress at any cost, kiasi kwamba anaigia position ya Sakho na ya Gerro, which makes the defence line loose and without discipline, Sakha ana shida ya kutaka perfection while EPL you just have to butua if need be... but to me Sakho has been more useful because he has won more balls by intercepting aerial balls na diagonal balls, hata kona Sakho is disciplined na atatulia na mtu wake... Lovren ana njaa ya sifa but they will all come good
Lovren sio mzuri hewani, as well as Skertel but sakho is, we need aerial and low balss presence
Personally i think Skertel and Sakho are more likely to give us clean sheet that LOvren, although Lovren will be our best defender akishajua kwamba his job is to play for a team and not his glory
Nafikiri ugonjwa wa Lovren (Trying too much) ndiyo umemkumba na Coutinho. Mwingine ambaye nina wasiwasi anaweza akaingia kwenye mkumbo huo ni Marko. Kuboronga kwa Lallana might be kutokuwa 100% fit lakini pia asipokuwa mwangalifu na mtulivu then, zimwi la price tag linaweza likamnyima usingizi.
Kufuatia usajili wa kuongeza squard depth, majeruhi yaliyotokana na Inter friends (Ukiondoa Skrtel, Johnson na Flano). BR amejikuta hana ujanja bali kucheza na kikosi chenye wengi wapya. Njia pekee ya kuwasaida wachezaji wapya kufanya vizuri ni kuwapa muda wa kuzoeana na kujiamini