The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
are you sure shankly hakuwahi ku-criticize players?
publictly??? Kwenye media??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
are you sure shankly hakuwahi ku-criticize players?
publictly??? Kwenye media??
Acheni KUMBWELA MASHABIKI MAANDAZI....Rogers ni bonge la kocha. Hivi unategemea nini wakati timu imenunua wachezaji zaidi ya tisa...inahitaji muda wachezaji hawa kuweza kuelewa mfumo wa kocha na kisha mambo yatakuwa safi.
kumlinganisha BR na Shanky ni ukosefu mkubwa sana wa nidhamu kwa shankly,na aliyefanya kitendo hicho alaaniwe milele! This man has won nothing to us,hana trophy yeyote ktk managerial carrier yake!! Tutaanza kumlinganisha na Shanky atakapoleta atleast 2 UCL trophies,5 BPL trophies,FA and league cups! Afu kuna wapuuzi hapa watasema umri wake mdogo,hivi Diego Simione,Judgen Klopp wana umri gani?? Na hawanunui makombe kama akina Morinyo! Nataka kuona BR anafanya kazi field,tunapata matokeo uwanjani,basi! U cant criticize your own player(Balotelli,Dagger,Downing) kwenye media afu utegemee matokeo mazuri
I have chosen to quit this discussion,kila mtu abaki na lake kichwani mwake.
Wachezaj wenyewe ndo hao wakina ballotel,can,lambert nk......ata kama uwe na depth ya wachezaj mia na sub iwe wanaruhusu kubadil mara hamsin,huwez chukua kombe lolote kwa kutegemea hao vishet wetu,..morinyo halikua analalamika striker last season nadhan umeona alichonunua,katoka lampard kaja fabrigas nk..
Mkuu Magnificent, nakubaliana na wewe kwa kweli.... maana naona umemtaja hadi Jamhuri Kiwelo ndiye awe manager wa LFC? Kweli kila mtu ana lake kichwani!!
Afu kuna wapuuzi hapa watasema umri wake mdogo,hivi Diego Simione,Judgen Klopp wana umri gani?
Ndugu zangu msikate tamaa!Liverpool will be stronger than previous year!Believe me and take this to your heart!
Janjaweed magnificent Tores. Pazi na wengineo naona matumaini kibao siku za usoni!
Weeks 2 hizi za international break tutarudi na ligi bado sana hii!Umeona na kupoteza mechi 3 lkn tupo sawa na Arsenal na Man U point moja tu(hawa tutawaacha mbali nina uhakika)Ona Man City points 4 tu na wakumkodolea macho ni Chelsea lkn kama kawaida yake anaweza mfunga leo Arsenal akafungwa mfululizo na avarage teams!
Liverpool will be back
Hii ni mara ya kwanza kuona lugha kama hii toka kwako na nina imani kabisa kuwa ulipitiwa tu!
YNWA tunaanza kuwa OK
Ndugu zangu msikate tamaa!Liverpool will be stronger than previous year!Believe me and take this to your heart!
Janjaweed magnificent Tores. Pazi na wengineo naona matumaini kibao siku za usoni!
Weeks 2 hizi za international break tutarudi na ligi bado sana hii!Umeona na kupoteza mechi 3 lkn tupo sawa na Arsenal na Man U point moja tu(hawa tutawaacha mbali nina uhakika)Ona Man City points 4 tu na wakumkodolea macho ni Chelsea lkn kama kawaida yake anaweza mfunga leo Arsenal akafungwa mfululizo na avarage teams!
Liverpool will be back
kumlinganisha BR na Shanky ni ukosefu mkubwa sana wa nidhamu kwa shankly,na aliyefanya kitendo hicho alaaniwe milele! This man has won nothing to us,hana trophy yeyote ktk managerial carrier yake!! Tutaanza kumlinganisha na Shanky atakapoleta atleast 2 UCL trophies,5 BPL trophies,FA and league cups! Afu kuna wapuuzi hapa watasema umri wake mdogo,hivi Diego Simione,Judgen Klopp wana umri gani?? Na hawanunui makombe kama akina Morinyo! Nataka kuona BR anafanya kazi field,tunapata matokeo uwanjani,basi! U cant criticize your own player(Balotelli,Dagger,Downing) kwenye media afu utegemee matokeo mazuri
Kaka hata mimi nakubaliana na wewe actually naona mwanga mbele.....naukitaka kujua atuko mbali na mafanikia just look at the table and the last weekend perfomance against westbrom.....i believe u will notes something.......goods dayz are coming.YNWA
Kufungwa na timu ndogo ilikua Msimu uliopita Sio Msimu Huu! Tumecheza big game 2 tumeshinda moja na tumepata sare moja! Hizo timu ndogo Tumecheza Nazo 5 na tumeshinda zote! Mlisema Costa ni mfungaji wa timu ndogo tu juzi katupia Kwa tumu kubwa! Sasa naona mnageuza nyimbo na tu Na Korasi nyie wenyewe!
Subirini nimaliza kz OT tarehe 26 alafu Nije kwenu!
Keep on dreaming yourself!
Msimu Huu top four Sio yenu!
Hongera kwa ushindi dhidi ya Wenger ambaye Mourihno kaisha mu affect kisaikolojia!!
Kumbuka mmetangulia tu na baiskeli ya miti wenye nafasi hiyo tunakuja
Haya kaka naona siku hizi umekua mtabiri a.k.a sheikh hussein yahya.hatutaingia top 4?? Hahaaa kumbuka ligi bado sana.....