Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool against West Brom… Yangu machache

Mignolet.
His big save at the early stages was vital. Ni wazi kwamba kama Berahino angefanikiwa kufumania nyavu mapema kiasi kile then, ingeongeza pressure kwa wachezaji wa liverpool, hasa ungizingatia jeraha la kipigo cha Basel bado halijakauka…
In a few occasions I saw him shouting na hiyo inaonyesha, he has now started getting comfortable with his backline. As for me, he can shout to any of those defenders…nothing to worry dogo, Carragher has retired…

Manquillo
Anaoneka kuimaria hasa physically but I think the young guy anahitajika kupewa mapumziko. I think the International breaks came at the right time for him but wrong timing to Johnson.

Lallana
Kuna waliosema kwamba tumpe kijana muda wa kuzoea makazi na mfumo mpya. Nafikiri kwa waliotushauri hivyo walikuwa sahihi. Majeraha yalichangia akawa na slow start but I think now tunaanza kuona kipaji chake…the guy also got the passion as well and you could see it from his goal celebration…better than Moreno celebration..?

Raheem
Kumekuwa na inconsistence kwenye uchezaji wake…Liverpool wamekuwa katika mchakato wa kumuongezea mkataba huku kukiwa na tetesi kuwa R. Madrid na PSG wanamzengea. Dodosa zinaashiria kuna janja inafanywa na agent wake ili kutengeneza hela ndefu and probably that is why Carragher was angry at him. Hayo na mengine mengi yanayotokea ili hali the young 19 boy amecheza nearly gemu zote za league & Inter, yanaweza yakasababisha instability ya uchezaji wake

Berahino
The guy was giving our Cbs a hard time. Compare to Baines who is more experienced, I think they way bera positioned himself while taken a penalty is much better. Mwingireza wa kupaka, now is the English top scorer…

Lucas for Coutinho
Ningependa kuona BR doing this more often. Kwa muda mrefu watu wamekuwa waki-suggest SG kupewa nafasi ya kusogea mbele na hatimaye BR amesikia. I think kwa kipindi kile kifupi hata Mario enjoyed it because SG wakati wote alikuwa akimtafutia Mario nafasi ya kufunga

Henderson
His work rate was once again excellent. Available when he was need, one two with Lallana was marvelous and his finish was as cool as you would like. Midfielder kutoka uwanjani with an assist and a winning is a dreaming achievement…
Oh, one thing though, I like his desire of winning but the way he SHOUTED to SG was not a clever move
 
for the past 10 years since Chelsea came into existance, imegenerate plastic fans kibao, ndo maana hata kwenye UCL nights huwa wanakodi watu ili kupeperusha banners (kama Azam tu bongo hapa), ndo team ambayo hata kwenye pre-season katka nchi mbali mbali, huwa inagawa tiketi bure ili kujaza mashabik( after za kuuza kubuma) na bado watu hawajai (refer incident ya Australia 2013/2014)...

Chelsea are forcing Rivaly with LfC kwa fans wao kuimba SG alivoslip kila match wanayocheza, but LFC fans do not give a Shit about them, u could imagine kama Man utd au Arsenal fans wamuimbe SG, nadhan feud ingezid kuwa kubwa sana! ila bcoz ts Chelsea people dont give a shit..

Katika stats za FA (Chama cha Soka England) zinaonyesha Sunderland have more league titles than Chelsea!

nakumbuka The last time Chelsea won the league 2010, it was SG that gave you the goal pale Darajan (chelsea Vs LFC), Ili kuistop Man Utd kubeba Kombe, bcoz he couldnt give a shit about Chelsea kuchukua kombe lile (Just a small club)

Leo hii, Rivaly ya fans kwa wenzetu imekuwa kubwa kati ya LFC na Arsenal fans ndo imekuwa kubwa (ukiachana na ile ya man utd ya kila siku)..na feud imekuwa kubwa kwasababu ya Ishu ya diaz kutaka kwenda Arsenal, ishu ya Sanchez na zile comments alizozitoa SG kuhusu Arsenal mpk wenger Akamjibu..U can see feud iliyopo baina ya LFC fans na Arsenal fans..na what makes it fantastic coz ni vijana wa miaka 24 kushuka chin ndo wanazinguana kila siku kuhusu hizi team on twitter (LFC, arsenal and Man utd) and none of them dont give a Shit about Chelsea, na shabik wa England wa LFC yupo radhi Everton ipoteze kwa Man utd (contrary kwa bongo huku, ambapo we all love to see Man utd lose no matter what), and Arsenal fan yupo radhi kuona Spurs inapoteza against Man utd or LFC (contrary na bongo) na shabik wa Man utd yupo radhi kuona Man city inapoteza kwa nguvu zote zile, but they dont give a Shit about chelsea coz derby ya chelsea ni kati yao na Fulham (you can see the difference)

Arsenal lost to chelsea on sunday, asa ungeona shida waliyokuwa wanaipata Arsenal Fans kutoka kwa LFC, Man utd and spurs fans, waliwameza fans wote wa Chelsea, ambao ni ni "very few" na wako aged kwenye social medias za wenzetu huko...

Afu kuna watu huwa wanajazana humu na kusema LFC team ya wazee!!!!.. LFC fans wanaorun Twitter, instagram, forums, facebook wote ni watoto wadogo sana the same kwa Arsenal fans na Man utd fans...

And kuna mtu anaongelea LFC kushindwa kuwepo Top4. hicho kitu kinaweza kutokea kwa kila team, but u shuld ask urself a team that have lost 3 games na bado ipo na point 10 sawa na Arsenal (who was unbeaten in his last 6 games), And 4 point from that 2nd spot..(kwann usiseme na Arsenal hatokuwepo top4??...unakimbilia kusema LFC??, unatafuta attention??) coz i had a bad start and bado nmecollect 10 points, nyuma ya point 1 ya manure (ambao hawajacheza na top side yoyote)..afu unakimbilia Kwa LFC, Ukiulizwa kwann unasema hivyo, jibu litakuwa BR syo kocha mzuri, (huna fact nyingne yoyote)..and BR ni kocha wa LFC, strength na weakness zake tunazijua sisi fans wa LFC..and kama unataka kuja kudscuss football njoo with good reasoning (syo unasema tu ili kupata attention humu)..

Ndo maana Pazi alisemaga tuwe tunawakaushia tu...coz mnakurupuka sana, muwe mnavisoma mnavyoandika kwanza kabla ya kuvipost..

Afu unapanic kuambiwa Mna-nunua Trophies..bila mrusi kutakeover chelsea pale, Ungekuwa shabiki wa Chelsea leo hii???...

coz hata reasonings zako, huwa zinaonyesha hauna mda mrefu sana katika ushabiki wa Mpira!
 
Last edited by a moderator:

SG??????
 
Mkuu osokonoi na wewe ni Ant-SG nn??..

Afu GJ nae nadhan was decent pia alivyoingia..ana changamoto kubwa sana kwa Manquillo sahvi..so nadhan ataImprove!

Ndo maana nadhan tunamuhitaj sana Valdes Aisee!!! Ili alete challenge kwa Mignolet..saves alizozifanya De Gea dhidi ya Everton, kwa Mr. Mignolet zote ni kamba zile!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu osokonoi na wewe ni Ant-SG nn??..

Mkuu MosDef
I’m not against SG, well let me say this…I’m not against anyone who in some way involved in Liverpool well beings.

Nafikiri hujaielewa vizuri that last sentence…the way he SHOUTED to SG was not a clever move.

That means I didn’t like what Hendo did
 
Last edited by a moderator:
Mkuu osokonoi na wewe ni Ant-SG nn??..

Afu GJ nae nadhan was decent pia alivyoingia..ana changamoto kubwa sana kwa Manquillo sahvi..so nadhan ataImprove!

Ndo maana nadhan tunamuhitaj sana Valdes Aisee!!! Ili alete challenge kwa Mignolet..saves alizozifanya De Gea dhidi ya Everton, kwa Mr. Mignolet zote ni kamba zile!!!!

Nakubaliana na wewe kwa ishu ya GJ ameonekana kuwa na spirit ya tofauti. Siju ni kwasababu alikuwa na hamu ya kucheza kutokana na kukaa nje muda mrefu au ni kutaka kumwonyesha Manq kwamba hiyo namba still belongs to him…

What ever the case what he did was positive na italeta matokeo mazuri kwa timu…

Katika mahojiano ameonyesha kuwa disappointed na Inter breaks. The guy want to play and probably to show the team that he should get a contract extension

Victor ni muhimu kwa timu yetu na sababu zipo nyingi and one of it ni experience. An experienced goal stopper like victo or Nuer asingefanya kosa kama la szczesny kumruhusu diego ku-drible mpaka kwenye box
 
Last edited by a moderator:
for the past 10 years since Chelsea came into existance, imegenerate plastic fans kibao, ndo maana hata kwenye UCL nights huwa wanakodi watu ili kupeperusha banners (kama Azam tu bongo hapa), ndo team ambayo hata kwenye pre-season katka nchi mbali mbali, huwa inagawa tiketi bure ili kujaza mashabik( after za kuuza kubuma) na bado watu hawajai (refer incident ya Australia 2013/2014)...

Chelsea are forcing Rivaly with LfC kwa fans wao kuimba SG alivoslip kila match wanayocheza, but LFC fans do not give a Shit about them, u could imagine kama Man utd au Arsenal fans wamuimbe SG, nadhan feud ingezid kuwa kubwa sana! ila bcoz ts Chelsea people dont give a shit..

Katika stats za FA (Chama cha Soka England) zinaonyesha Sunderland have more league titles than Chelsea!

nakumbuka The last time Chelsea won the league 2010, it was SG that gave you the goal pale Darajan (chelsea Vs LFC), Ili kuistop Man Utd kubeba Kombe, bcoz he couldnt give a shit about Chelsea kuchukua kombe lile (Just a small club)

Leo hii, Rivaly ya fans kwa wenzetu imekuwa kubwa kati ya LFC na Arsenal fans ndo imekuwa kubwa (ukiachana na ile ya man utd ya kila siku)..na feud imekuwa kubwa kwasababu ya Ishu ya diaz kutaka kwenda Arsenal, ishu ya Sanchez na zile comments alizozitoa SG kuhusu Arsenal mpk wenger Akamjibu..U can see feud iliyopo baina ya LFC fans na Arsenal fans..na what makes it fantastic coz ni vijana wa miaka 24 kushuka chin ndo wanazinguana kila siku kuhusu hizi team on twitter (LFC, arsenal and Man utd) and none of them dont give a Shit about Chelsea, na shabik wa England wa LFC yupo radhi Everton ipoteze kwa Man utd (contrary kwa bongo huku, ambapo we all love to see Man utd lose no matter what), and Arsenal fan yupo radhi kuona Spurs inapoteza against Man utd or LFC (contrary na bongo) na shabik wa Man utd yupo radhi kuona Man city inapoteza kwa nguvu zote zile, but they dont give a Shit about chelsea coz derby ya chelsea ni kati yao na Fulham (you can see the difference)

Arsenal lost to chelsea on sunday, asa ungeona shida waliyokuwa wanaipata Arsenal Fans kutoka kwa LFC, Man utd and spurs fans, waliwameza fans wote wa Chelsea, ambao ni ni "very few" na wako aged kwenye social medias za wenzetu huko...

Afu kuna watu huwa wanajazana humu na kusema LFC team ya wazee!!!!.. LFC fans wanaorun Twitter, instagram, forums, facebook wote ni watoto wadogo sana the same kwa Arsenal fans na Man utd fans...

And kuna mtu anaongelea LFC kushindwa kuwepo Top4. hicho kitu kinaweza kutokea kwa kila team, but u shuld ask urself a team that have lost 3 games na bado ipo na point 10 sawa na Arsenal (who was unbeaten in his last 6 games), And 4 point from that 2nd spot..(kwann usiseme na Arsenal hatokuwepo top4??...unakimbilia kusema LFC??, unatafuta attention??) coz i had a bad start and bado nmecollect 10 points, nyuma ya point 1 ya manure (ambao hawajacheza na top side yoyote)..afu unakimbilia Kwa LFC, Ukiulizwa kwann unasema hivyo, jibu litakuwa BR syo kocha mzuri, (huna fact nyingne yoyote)..and BR ni kocha wa LFC, strength na weakness zake tunazijua sisi fans wa LFC..and kama unataka kuja kudscuss football njoo with good reasoning (syo unasema tu ili kupata attention humu)..

Ndo maana Pazi alisemaga tuwe tunawakaushia tu...coz mnakurupuka sana, muwe mnavisoma mnavyoandika kwanza kabla ya kuvipost..

Afu unapanic kuambiwa Mna-nunua Trophies..bila mrusi kutakeover chelsea pale, Ungekuwa shabiki wa Chelsea leo hii???...

coz hata reasonings zako, huwa zinaonyesha hauna mda mrefu sana katika ushabiki wa Mpira!

Chelsea timu ndogo sana mkuu,
wewe ipotezee tu ,huna haja hata ya kuwajibu ma PLASTIC fans wake,
 
Absolutely true,hii timu yenu SIIPENDI!! Nimejikuta hadi nawachukia Mashabiki wake! Team imekuja kwenye existence 2004,wewe level yenu ni akina Man city...ushaona wapi big teams in Europe zina ubingwa wa ligi yao mara 3 sijui nne
 
Unafahamu maana ya existence wewe..? Au unapanua pamua tu domo kama chura..kunya ukalale huijui Chelsea na hujui mpira ..labda timunya kijijini kwenu ndanda fc ndio imeanza 2004.. Tena ukome kusema mambo usiyoyajua
 
Mkuu kwa miaka mitano ijayo mimi nakuona uko gerezeni..kwasababu ujui kujieleza,bas we twambie ukweli ni upi sio kuleta matusi hapa,hakuna uongo chelsea ni timu ya juzi tu,bora ata newcastle inao diehard fans worldwide sio kitimu chenu hicho cha ma learners in wat footbal is..!
 
Sorry km hoja zangu hua zinakukera Lkn Haya Ndio mambo ya mpira! Na pia hamuwezi Kua ktk mijadala yenu mnaisema Chelsea hovyo na sisi mashabiki wake tukakaa kimya! Angalia ktk post zangu zote nimejibu zile post ambazo Chelsea imeongelewa! Sasa km mtakua mnajadi mambo yenu tu bila kutaja timu zingine basi na sisi tutakaa kimya Lkn km mkiwa mnadanyana na kuisema Chelsea hovyo basi tutajibu kadri tuwezavyo!

Sisi ktk thread yetu hua tunajadili mikakati ya game ambayo tunakwenda kukutana nayo! Lkn huwezi kuta tunajadili mara sijui Liverpool Au Arsenal Au Man Utd km mbavyo mnavyofanya nyie Ndio maana hamna cha kujibu ktk thread yetu! Kwahiyo mkuu MosDef km mtaacha kusema timu zingine basi Hakuna atakae wajibu! Lkn mkiendelea hivi lazima tuwajibu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa miaka mitano ijayo mimi nakuona uko gerezeni..kwasababu ujui kujieleza,bas we twambie ukweli ni upi sio kuleta matusi hapa,hakuna uongo chelsea ni timu ya juzi tu,bora ata newcastle inao diehard fans worldwide sio kitimu chenu hicho cha ma learners in wat footbal is..!

Unaposema Chelsea ni timu ya juzi unamaana kwamba ni juzi tu Chelsea Ndio ilianzishwa? Hebu mtujuze vzr!
 
Namaanisha hivi..baada ya miaka mia na ushee wa kuundwa kwake ni juzi tu ndo imeanza kubeba vikombe..!!
 
Ok Kwa maana hiyo ni timu ya juzi ktk kubeba vikombe! Na nyie mna muda gani hamvibebi hivyo vikombe?
 
Aiseee Malafyale yani hii waiita baiskeli ya miti? Hii ni David Harison cc 2500 Hapana mchezo mkuu!

Kaka hata msimu uliopita mlianza hivi hivi kwa nyie na Arsenal kuongoza kwa muda mrefu lkn baadae MAJOGOO tukawika
 
Last edited by a moderator:
Kaka hata msimu uliopita mlianza hivi hivi kwa nyie na Arsenal kuongoza kwa muda mrefu lkn baadae MAJOGOO tukawika

Mkuu umeshasema Msimu uliopita! Alafu arsenal Ndio aliongoza Kwa Kipindi kirefu sn mpk February ndo na sisi tukaongoza Kwa miezi km miwili hivi lkn
Mpk Karibu ligi kuisha timu tatu zilikua na nafasi ya kuchukua kombe!
 
Unafahamu maana ya existence wewe..? Au unapanua pamua tu domo kama chura..kunya ukalale huijui Chelsea na hujui mpira ..labda timunya kijijini kwenu ndanda fc ndio imeanza 2004.. Tena ukome kusema mambo usiyoyajua

Matusi ya nn sasa badala ya kueleza alicho kosea?

Chelsea mafanikio yameanza kuja baada ya kununuliwa na huyu Jewish=fact!!

Lini Chelsea imekuwa timu ya Abra?
 
Back
Top Bottom