Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is a FACT kwamba chelsea wana fan base kubwa kuliko kuliko liverpool...most of Liverpool fans walishakufaga sababu ya uzee..
Historia kubwa inakusaidia nini wakati kwa sasa direction inapotea?
Soccer super stars like zinedine, Ronaldo agrees we a fathers of Uk soccer...
Ronaldo resently said he is looking forward to go to Anfileld as he missed those die hard and noise makers fans.. and most the best song in the stadium YNWA... so chelsea plz plz give us a break.. and zip ur mouths... shiiiii
Ata Mimi naweza natoa maoni yangu kua napenda kwenda timu ya mgambo wao ni baba wa soka na pia wana mashabiki wazuri hivyo Azamu na Yanga na myama wakae kimya.
Teh Teh Teh Teh Teh Teh
Ata Mimi naweza natoa maoni yangu kua napenda kwenda timu ya mgambo wao ni baba wa soka na pia wana mashabiki wazuri hivyo Azamu na Yanga na myama wakae kimya.
Teh Teh Teh Teh Teh Teh
Kweli uwezo wa kuelewa tunapisha na leo nimeamini.......wewe sio soccer superstar.ronaldo na wenzake waliosema liverpool ina mashabiki bora kabisa duniani ni masuperstar.......teeh teeh teeh.
Ndio maana wenzako wanakuzarau kwa sababu unakurupuka......samahani kwa kutumia hayo maneno makali ilikua sio nia yangu......ila imenibidi kusema maana always unaenda nje ya points.sorry sorry.
kwa hiyo Liverfools ni kama Mgambo bwahahahaha.......... masikini wanajitetea na historia. ni sawa na Mr.Nice aanze kujigamba alishawahi kuwa na hela wakati sasa hivi hana hata mia, awe bora kuliko bharesa eti kisa zamani alishashika pesa zaidi ya za bharesa!" nonsense.
Grabd PA
haitokaa itokee labda wachezaji we2 wacheze peku, na hata wakicheza peku bado 2tawafunga .........Bwahahahaaaa!
Kz ipo mkuu. Lkn Hawa jamaa wakali wanaweza kukutoa ngeu.
Ata Mr Nice Ana fwedha kuliko Bakharesa..... Teh Teh Teh Teh
Kz wanayo......!
haitokaa itokee labda wachezaji we2 wacheze peku, na hata wakicheza peku bado 2tawafunga .........
Grabd PA
Likely Lazar Markovic kaumia mechi ya leo Serbia ma Armenia!Haya ni majanga
Hivi kwa nini badala ya kubishana na kutukanana nao msiwaache ili kuendeleza mjadala kuhusu maendeleo ya klabu.
Kumbukeni "kukaa kimya si kuogopa ni kuonesha hekima kwa mpuuzi".
Ila tuacheni utani mashabiki wa Liverpool kwenye hii thread wanawachukia sana mashabiki wa team zingine hata utoe polite comments,huku nishatukanwa ila tunamalizana kwa kuelewana,mashabiki wa Liverpool humu hawataniwi,kwanza hawataki kuona mashabiki wa teams zingine kwenye thread yao.
.
C.C Grand PA agosti 8 Ntuzu Ngongo Nzi