Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Balo asikae nje mkuu!!Huyu anahitaji bao moja tu la ligi ili arudishe confo yake!Balo is too young only 24 yrs kwa hiyo atatusaidia kwa miaka mingi kama tukimuivisha!!

Mmmh mkuu huyu haelekei kabisa kama atabadilika
 
Hii si kweli. Suarez na Carol walisajiliwa msimu mmoja. Na msimu huo Carrol alikuja akiwa majeruhi kwa karibia nusu ya msimu.

Caroll stayed out kwa mda gan, alivyotoka Newcastle...who was our main ST??? namba 9 alikuwa nan??..Daglish alikuwa anamprefer nan kati ya Suarez na Bellamy katika namba 9???..chini ya Daglish, Suarez alicheza kama namba 9 kwenye game ngap???


And once caroll alivyokuwa fit..kati ya Caroll, Suarez na bellamy nan alikuwa favoured kuwa main namba 9 chini ya Daglish????
 
Kuhusu approach ya madrid J5, Ngoja nikubaliane tu Jamie Callagher!!!!!!

hope BR atafanya the SAME!!!

we just need 10pts kwenda mtoano!, Kwahyo i think with Danny OUT injured, lets just aim for a draw kwanza kwenye hii game ya madrid (ushindi uwe majaliwa)..afu Danny akirudi tutakuwa fit kuwaface Basel at anfield na ludo away (ambapo am sure uwezo wa kushinda upo kuliko hizi game 2 za madrid)...

Tukicheza kwa kujiachia..tutapigwa bao nyingi saaana!!! itakuwa fedhesha sana jaman!!!..bora hata draw tu!!!
 
Sina hakika kama tutasonga

Jana usiku niliangalia table ya EPL kwa mara ya kwanza tangu season ilipoanza. Kwa kweli nilishangaa na kupata relief kubwa......kwamba pamoja na kucheza kwetu huku kwa hovyohovyo kumbe we are still up there close to the Champions League places. No doom, no gloom.

There's no reason for the Kop to start feeling down after all......so come on you Reds and cheer up, ok?

Back to football. For me, Balotelli shouldn't be in the starting line up. He casts a seriously negative influence to the whole team. For the diamond to be effective, you need a mobile frontman and who can drop a shoulder over the opposition backline. Balotelli can do neither, he just ends up hampering the midfield initiative. It explains the early Italy WC exit in Brazil despite the awesome shift put in by Pirlo & co.
We don't want LFC to do an "Italy WC 2014" for f....k sake!!

I hear people talking about Borini as an option........oh PLEASE? Tuache utani jamani...this is LFC


So my starting line up vs RM is:

SM
----------------
GJ, JE, DL, MS
---------------------------
SG (holding), JA (holding but can swap roles with Hendo as and when), Hendo (box to box), Cou (diamond tip)
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
AL (just behind and around RS), RS (CF)
 
Bayern and Shakhtar are trying to break our record ya kushinda goal nying zaid UCL katika game MOJA....8-0 against Beskitas....please God..Nooooo!!!!
 
Kuhusu approach ya madrid J5, Ngoja nikubaliane tu Jamie Callagher!!!!!!

hope BR atafanya the SAME!!!

we just need 10pts kwenda mtoano!, Kwahyo i think with Danny OUT injured, lets just aim for a draw kwanza kwenye hii game ya madrid (ushindi uwe majaliwa)..afu Danny akirudi tutakuwa fit kuwaface Basel at anfield na ludo away (ambapo am sure uwezo wa kushinda upo kuliko hizi game 2 za madrid)...

Tukicheza kwa kujiachia..tutapigwa bao nyingi saaana!!! itakuwa fedhesha sana jaman!!!..bora hata draw tu!!!

Kesho hatufungwi Anfield kwanza napenda nikutoe wasiwasi
Pili tarajia game nzuri kutoka pande zote mbili
Tatu mabadiliko yafanywe kwenye beki ya kushoto tu aanze Moreno lkn Balo aanze pia
Nne Madrid nao beki yao sio nzuri
 
Kesho hatufungwi Anfield kwanza napenda nikutoe wasiwasi
Pili tarajia game nzuri kutoka pande zote mbili
Tatu mabadiliko yafanywe kwenye beki ya kushoto tu aanze Moreno lkn Balo aanze pia
Nne Madrid nao beki yao sio nzuri

Moreno was rested kwenye game ya weekend kwaajili ya hii Game ya Kesho!!!
 
Moreno was rested kwenye game ya weekend kwaajili ya hii Game ya Kesho!!!

MosDef, sina stats za hawa wachezaji wawili lakini kwa kuangalia tu performances zao kiujumla I would personally prefer Jose Enrique (nime-initial kimakosa kama LE kwenye line up yangu vs RM) over Moreno. Ninapenda uwezo wake wa ku-hold the ball na huwa anatoa pasi ambazo mara nyingi zinatengeneza outlet ya quick counter attack.

Overall, kuna maturity kwenye display yake. Anazo defensive frailties yes, lakini ni mchezaji gani (including Moreno) hana defensive shortcomings kwenye ile backline yetu? Mimi naona Moreno bado yuko very naive (papara, etc).

Labda kama unaweza ukatupatia stats zozote zinazowalinganisha Enrique vs Moreno kwenye recent matches ambazo zitatupa basis ya kutoa verdict yupi anatufaa zaidi??
 
dont think of balo alone, think about the team... he is not fitting

angalia wenzake wanavyosimama akiwa na mpira... they cant read him..

check move ya magoli ya liverpool vs QPR... sterling, glen, sg and coutinho walikua wanasomana vizuri

My sentiments exactly!!

Infact, hata wenziwe wakiwa na mpira Balotelli bado hasomeki vizuri kwa vile yuko very static..OUT!!
 
We do not need to panic!Liverpool will be OK na Baloteli ataanza kufunga tu!Suarez mwenyewe mwaka wa kwanza ali struggle labda mmeisha sahau hii!

Baloteli ana pressure kwa sasa kikubwa ñi kuendelea tu kumpa game na atakuwa OK!

Team ya kuilia timing ni Chelsea tu hizi zingine afadhali sisi!Wana KOPS wenzangu tushikamane naona nuru kubwa mbele yetu

Point taken...!
 
calculate
when barc score 3 madrid score 5!
then:
barca 3=5 r.madr
barca 3=x r.madr
so today liverpool.......
 
R madrid wana bahati sn dan majeruhi but NGOJA TUKASHANGAZE ULIMWENGU PALE ANFIELD
 
Back
Top Bottom