Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ndoto nyingine ni ngumu sana, nimeota game ya leo tunapata matokeo mazuri. Game yenyewe hatuna cha kupoteza inabidi wapigane kiume.
Wachezaji ambao huwa sipendi kuwaona kwenye 1st 11 BR kawa drop, kwa hili kwa matokeo yoyote sitakuwa na excuse hata kidogo.

Msimu uliopita Man City walafail kumaliza kileleni mwa kundi kwa sababu ya goal difference tena ya goal 1, wakakutana na Barca na matokeo yanajulikana
BR ni bora angewapanga kina SG, RS, PC kufanya damage limitations, ikitokea ameshindwa kuqualify kwa sababu ya GD, watu watakuja kurefer match hii
 
BR amekubali kupoteza hii game anafikiria game na Chelsea wikiendi ndio maana key players wake wote wako benchi
 
Mpira nao una maajabu yake mara tumemkalisha Madrid mbele ya Santiago bernabeu......... 😀😀😀😀😀

Duh! Mechi ya leo mbona mmekata tamaa hivyo? Aisee kila nayemuona hana tumaini,you never know mnaweza kuushangaza ulimwengu mkamkalisha RM dk 90 ndo zinaongea. All the best
 
Huyu Markovic huyu. Sheeeeenziiii xana huyu.

BR toa hii takataka kwa mkopo January.
 
Hata kama ni risk taking siyo hii ya line up ya leo, markovic, Allen hawapo kabisa kwenye game, na hii ya kuwaachia Madrid room kubwa ya kunya chochote na mpira hatuwa-pressurise wa lose mipira kama wao wanavyofanya kwetu
 
BR amekubali kupoteza hii game anafikiria game na Chelsea wikiendi ndio maana key players wake wote wako benchi



BR Hana akili.....! Na hiyo tarehe 8 Tunakuja kumpiga hapo kwake.....!
 
Mpira mzuri ulikua wa Arsenal Lkn huu wa Madrid na LFC ulikua hovyo...!
Ni kweli aisee, ningejua ni bora ningetizama wa Arsenal... nilitegemea Madrid wangepiga ball la nguvu, yaani sijui walikuwa wanacheza vitu gani, wameniudhi kinyama...
 
Back
Top Bottom