Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Referee was shit
1. Giving sterling a card instead of Ramirez
2. The ball went out before Azp could cross for a chelsick sec goal
3. Matic hand ball should have been a penalty

Stupid referee

hahaha and you're stupid plastic fan
 
Referee was shit
1. Giving sterling a card instead of Ramirez
2. The ball went out before Azp could cross for a chelsick sec goal
3. Matic hand ball should have been a penalty

Stupid referee

Mna point 14
mmepoteza game 5
focus kwenye tatizo ,sio hao makosa ya marefa

Ivanovic alimvuta Stering akapewa yellow card
Stering akamvuta Hazard hakupewa kadi

*Mind the Gap*
 
Mna point 14
mmepoteza game 5
focus kwenye tatizo ,sio hao makosa ya marefa

Ivanovic alimvuta Stering akapewa yellow card
Stering akamvuta Hazard hakupewa kadi

*Mind the Gap*

Sterling hakupewa kadi kwa kumvuta ivo, but kadi ilitoka baada ya kupigwa kiwiko na Rami. Sasa jiulize nani alistahili kadi

Ni kweli kwamba timu yetu haiko vizuri
Ila hiyo haiwezi kuwa sababu ya kunyamazia madudu yanayofanyika kwenye uamuzi
 
Mbona hamuisemi penati Chelsea walonyimwa kipindi cha kwanza Oscar alimshikisha mpira beki wenu na refa akapeta?
 
Rogers msimu uliopita alikuwa na upepo. Timu ilikuwa ikicheza kwa spirit zaidi. Hii ya msimu huu ni mbovu mno...poleni. La kuvunda halina ubani. Soon jamaa ataonyeshwa mlango wa kutokea.
 
Sterling hakupewa kadi kwa kumvuta ivo, but kadi ilitoka baada ya kupigwa kiwiko na Rami. Sasa jiulize nani alistahili kadi

Ni kweli kwamba timu yetu haiko vizuri
Ila hiyo haiwezi kuwa sababu ya kunyamazia madudu yanayofanyika kwenye uamuzi

hujanielewa, sterring alitakiwa kupata second yellow baada ya kumvuta Hazard.
Ref amefanya makosa kwa kiasi fulani,ila huwezi kusema ndio sababu Liverpool kutokufanya vizuri msimu huu.
sometimes inabidi ukubali km timu yako sio nzuri.

out of 11 e.p.l matches this season mmshapoteza 5, draw 2 na win 4
something need to be done kubadili huo mwenendo
 
Referee was shit
1. Giving sterling a card instead of Ramirez
2. The ball went out before Azp could cross for a chelsick sec goal
3. Matic hand ball should have been a penalty

Stupid referee

1;sterling c alimzuia Ram njia ? That's y akapewa kadi
2;mpira aukutoka ulikua bado upo on the line ,tafuta marudio uangalie
3;Je ile hand ball ya Liverpool mbna uizungumzii?
4;pole Sana kwa kutobolewa mfululizo 😱😱😱
 
Back
Top Bottom