Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tutazidi poteza good talent kwa style ya BR, siyo good ishu hata kufanya sign ya odengaard maana(unaweza kuta hata bila kuvaa jezi yetu akaenda kwa mkopo any club) this kid yuko very talented

BR alianza vizuri sana kuwatumia watoto waliokua promoteed na Daglish, sijui nini kilitokea akawarudisha chini, in my opinion
Ibe is better than markovic
Wisdom is better than Lovren and Manquillo
Suso is better than Can
 
Duh!!! Suso na Can????
 
Lovren saying Ødegaard amekuwa akitrain na LFC first team for the past 3 days!!!

Fee yake ni £2.5-£3m...
 
FA are fucking Cunts..

ile post ya MB kule instagram ndo imemketea BAN!!!

Afu zile message za Malky Mackay (Former Cardiff coach) hakupewa adhabu yoyote aisee na FA!!!
 
Emre Can ni moja kati ya BEST signings za BR ambazo zitakuja kuibeba team kwa muda mrefu sana!!!
i like Can, na ningependa apangwe badala ya yule kuku anaitwa Allen

But Suso is better IMO (as attacking MF)
 
FA are fucking Cunts..

ile post ya MB kule instagram ndo imemketea BAN!!!

Afu zile message za Malky Mackay (Former Cardiff coach) hakupewa adhabu yoyote aisee na FA!!!
FA is as corrupt as chama chetu cha mapinduzi

there are too many incidences za kuiboa liverpool

hata officiating this year imekua mbaya, we are bullied tena with true fouls kabisa but refs get away with murder
 
Lovren saying Ødegaard amekuwa akitrain na LFC first team for the past 3 days!!!

Fee yake ni £2.5-£3m...
yah,

ila nashangaa kwanini imekua news, he did the same for a few more clubs in europe

i am afraid tuna mtu wa propaganda anayerusha sana plans za liverpool kwenye media
 
BR alianza vizuri sana kuwatumia watoto waliokua promoteed na Daglish, sijui nini kilitokea akawarudisha chini, in my opinion
Ibe is better than markovic
Wisdom is better than Lovren and Manquillo
Suso is better than Can

Duh! Kila nikimkumbuka Ibe machozi yananitoka.
 
yah,

ila nashangaa kwanini imekua news, he did the same for a few more clubs in europe

i am afraid tuna mtu wa propaganda anayerusha sana plans za liverpool kwenye media

hahahahahaha!!!

tatizo letu LFC fans huwa tunakuwaga na hype kubwa sana kwa kila mchezaji anayesajiliwa na team hata awe average kiasi gani!!

kwa mfano hype iliyokuwepo kwa Markovic hakuistahili coz expectations zilikuwa nyiiingi saaana, ndo maana dogo huwa anacheza kwa presha sana!!! umri wake na exprience yake haikustahili expectations alizopewa!!..

Siku tukija kusign a World class player sijui itakuwaje...manake kwa MB tu watu walikesha Melwood usiku mzima!!!
 
You are right... we put pressure on our players... and Lovren, Markovic na Lallana wamecrack under pressure
 
Kapigwa mechi ngapi?

nadhan ni game 1 tu...

nadhan mpka ijumaa amepewa muda wa kuappeal na kupeleka maelezo zaidi..

the club is backing him though, ingawa previous comments zinasema anaweza kuwa fined tu, lakin zingine zinasema anaweza kuwa fined na kuserve 1 match ban...game ya Sunderland anaikosa kwa sababu ya groin injury...asa yawezekana mkosi ukaangukia dhid ya Arsenal au Manure!!!!...
 
FA is as corrupt as chama chetu cha mapinduzi

there are too many incidences za kuiboa liverpool

hata officiating this year imekua mbaya, we are bullied tena with true fouls kabisa but refs get away with murder

makina David Gill (Manure cunts) si yamejazana mule!!!

RB alikuwa anayatoleaga sana uvivu!!
 
Back
Top Bottom