Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

aisee....scholes alistaafu 2011 akarudishwa na fergie tena 2012/13 akasaidia ubingwa....sasa tangu astaafu man utd walitwaa epl titles zipi??? halafu nyinyi ndio mnaita watu mashabiki maandazi....amazing!

angalia scholes honors

Manchester United

im done with this discussion!

Alistaafu May 2011 na kurudi mzunguko wa pili wa League January 2012 na Man U kutwaa ubingwa akiwa anacheza nadra sana!

Je kama asingerudi Man U wasingetwaa ubingwa?Alikuwa na effect gani alipirudi zaidi ya kucheza dakika chache sana!

Pima mwenyewe!Then pima SG asingekuwepo Liverpool wangechukua kombe gani?
 
You loose ur memory?
Pirlo alikuwa Milan,Zizzou alianzia Juve na Giggs ni exceptional kumfananisha na Scholes ni matusi

Bale aliondoka kwa hela nyingi kama CR 7 kuthibitisha ubora wake!Hamna niliposema kuwa Messi anazimwa na Bale lkn nachokuambia mchezaji bora anapimwa na nguvu yake ya soko?

Scholes mchezaji avarage tu alifaidika na uimara wa Man U enzi hizo!Roy Keane ndiyo nakubali kama SG alikuwa hata hagusi sio Scholes

Acha kujitoa ufahamu Mkuu, kwa kutumia nadharia yako mwenyewe kwamba 'mchezaji bora anapimwa na nguvu yake ya soko' then Bale ni bora kuliko wanasoka wote currently kwa sababu yeye ndio mchezaji ghali zaidi duniani.
 
ni kweli mimi sijui soka na ni mshabiki maandazi....next time i will be calling u some names and take it as a man..respect is two way....now let me put u where u belong.

usidandie tu comments za watu bila kujua zimeanzia wapi....hujui carrick kaingiaje kwenye huu mjadala....aliemuingiza carrick kwenye huu mjadala ni Malafyale wakati anajibu post yangu niliyoandika "BR yuko right kumwambia SG hawezi kucheza muda wote coz he is 34" ndio Malafyale akasema mbona carrick is 33 na anaanza man utd?? nikamjibu silaha ya carrick ni brain na long passes lakini SG anatumia sana nguvu na ni box to box midfielder.....then malayale akasema huyo carrick timu ya taifa anasubiri kwa SG etc nikamwambia nikifikiri unalimganisha role na position zao uwanjani na mimi kama kawa nikampa dongo linalowauma nyinyi wote 'carrick has won epl title SG has never' thats a fact....kwahio usijifanye wewe mjuaje kuita watu majina ya dharau coz kila mtu hilo halimshindi...unaweza kuniona mimi shabiki maandazi na mimi nikakuona mpuuzi fulani tu.

daah kwenye long pass apo mkuu cjui kama uko sahihi..uyu carrick sindo washabik wa manure walikua wanasema anaongoza kurudisha mipira nyuma.....carrick hanatofaut na o'shea ad wanastaff soca hawajawai kuonyesha kama walizaliwa kucheza soka.
 
Last edited by a moderator:
Newcastle? Bila shaka wewe utakuwa Mtz anayeishi Newcastle. Nina rafiki yangu ana ndugu anaishi Oxford, haumwambii kitu kuhusu kuhama timu ya Oxford United.

niko tz jamaa angu....sema newcastle niliipenda tu sababu ya jez zao za pundamilia
 
Alistaafu May 2011 na kurudi mzunguko wa pili wa League January 2012 na Man U kutwaa ubingwa akiwa anacheza nadra sana!

Je kama asingerudi Man U wasingetwaa ubingwa?Alikuwa na effect gani alipirudi zaidi ya kucheza dakika chache sana!

Pima mwenyewe!Then pima SG asingekuwepo Liverpool wangechukua kombe gani?

Paul Scholes alikuwa mkimya sana hata kupata habari zake haikuwa rahisi FYI hakuwa hata na agent he was very loyal to United so hata ukipeleka bid unapoteza muda ,kuna kipindi Morati alitaka kumnunua akachemsha then kutakiwa na timu hakumaanishi mchezaji ni bora
Kumbuka Gerrard amecheza miaka almost 17 but ameshindwa kuibeba Liverpool kuchukua EPL, for the last 8 years hakuna alichokifanya zaidi ya kufunga penati
 
daah kwenye long pass apo mkuu cjui kama uko sahihi..uyu carrick sindo washabik wa manure walikua wanasema anaongoza kurudisha mipira nyuma.....carrick hanatofaut na o'shea ad wanastaff soca hawajawai kuonyesha kama walizaliwa kucheza soka.

wewe unafuatilia mpira??
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Alistaafu May 2011 na kurudi mzunguko wa pili wa League January 2012 na Man U kutwaa ubingwa akiwa anacheza nadra sana!

Je kama asingerudi Man U wasingetwaa ubingwa?Alikuwa na effect gani alipirudi zaidi ya kucheza dakika chache sana!

Pima mwenyewe!Then pima SG asingekuwepo Liverpool wangechukua kombe gani?

mbona unaruka ruka mkuu....wewe ulisema tangu astaafu man utd WAMECHUKUA MAKOMBE....sema makombe gani??? usiibe facts nilizokuwekea hapo juu....sema tangu amestaafu man utd wamechukua makombe gani??? naona unaanza kurukia playing time...hakuna asiejua alikuwa anacheza dakika chache mwishoni mwake kisoka kocha mwenye akili anafanya hivyo ndio maana BR anataka kufanya hivyo SG anakimbia!! sema hapa makombe gani man utd wamechukua tangu astaafu??? au hukusema hivyo kwenye post niliyoku-quote???
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
My point:Scholes alipo staafu Man U walitwaa EPL mara kibao tu!!SG angeondoka Liverpool hata FA wasingechukua

Pundits inabidi uangalie sana kwenye team yako una nani na msaada wako ni nn!Huyu hata enzi za Babu akiwa kwenye prime time yake alishindwa kuwa EPL player of the year
Malafyale naomba usirukeruke.....nijibu kiufasaha tangu scholes amestaafu man utd imechukua makombe mara kibao ya epl ni mangapi na ni mwaka gani na mwaka gani???
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Acha kujitoa ufahamu Mkuu, kwa kutumia nadharia yako mwenyewe kwamba 'mchezaji bora anapimwa na nguvu yake ya soko' then Bale ni bora kuliko wanasoka wote currently kwa sababu yeye ndio mchezaji ghali zaidi duniani.

Vipi ulifahamu?Nimesema mchezaji akiwa hot ubora wake unapimwa na nguvu ya soko!Ronaldo De Lima alikuwa anabadili team almost kila baada ya miaka 3 kwa dau kubwa,SG alikataa mwenyewe kucheza teams zaidi ya 4 kubwa kwa donge nono!

CR7 aliondoka kwa dau nono,Zizzou alienda Madrid sambamba na Figo and list goes on

Paul Scholes alitakiwa na team gani enzi hizo yupo hot?Kwa nn kila kubwa team walikuja Uingereza wakimtaka SG na sio Scholes?

Tumia tu common sense
 
Malafyale naomba usirukeruke.....nijibu kiufasaha tangu scholes amestaafu man utd imechukua makombe mara kibao ya epl ni mangapi na ni mwaka gani na mwaka gani???

Nafuta neno"mara kibao",Lkn nabakiza neno"MAN U walitwaa kombe la EPL mwaka 2012 bila mchango wowote wa Scholes

Swali langu lipo pale pale na bado hulijibu sielewi labda hauna jibu
1.Why teams karibia zote kubwa zikija Uingereza enzi SG na Scholes wote wapo hot walimtaka SG?
2.Bila MCHANGO WOWOTE wa maana waScholes Man U walitwaa EPL;Je bila SG Liverpool wangetwaa hata Capital One kwa Cardif?

Tusirukeruke tujibu hoja kama nilivyokujibu wewe
 
Vipi ulifahamu?Nimesema mchezaji akiwa hot ubora wake unapimwa na nguvu ya soko!Ronaldo De Lima alikuwa anabadili team almost kila baada ya miaka 3 kwa dau kubwa,SG alikataa mwenyewe kucheza teams zaidi ya 4 kubwa kwa donge nono!

CR7 aliondoka kwa dau nono,Zizzou alienda Madrid sambamba na Figo and list goes on

Paul Scholes alitakiwa na team gani enzi hizo yupo hot?Kwa nn kila kubwa team walikuja Uingereza wakimtaka SG na sio Scholes?

Tumia tu common sense

Nimejaribu kutumia 'common sense' in every sense of it but I guess common sense is not so common after all.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nafuta neno"mara kibao",Lkn nabakiza neno"MAN U walitwaa kombe la EPL mwaka 2012 bila mchango wowote wa Scholes

Swali langu lipo pale pale na bado hulijibu sielewi labda hauna jibu
1.Why teams karibia zote kubwa zikija Uingereza enzi SG na Scholes wote wapo hot walimtaka SG?
2.Bila MCHANGO WOWOTE wa maana waScholes Man U walitwaa EPL;Je bila SG Liverpool wangetwaa hata Capital One kwa Cardif?

Tusirukeruke tujibu hoja kama nilivyokujibu wewe

Ebu weka links kuonyesha hizo timu kubwa zilizomtaka Gerrard, na links zinazoonyesha kuwa yeye alikataa.

Pili, kuna mkuu awali amekwambia SG bila ya akina Xabi Alonso, Mascherano, Torres na Suarez, ameifanyia nini Liverpool? Katika mashindano ambayo Liverpool imeshinda vikombe, ebu weka lineups, halafu udhiirishe namna SG alivyoibeba timu bila ya hao niliowataja juu na wengineo.
 
wewe naona nikuache tu....unajichanganya tu kwanza man utd walichukua kombe 2013....2012 ni man city....2014 man city....2015 tunasubiri bado

Manchester United

unaweza kusema man utd wamechukua kombe bila mchango wowote wa scholes [2012-13 sio kama unavyodhani] sasa hio epl medal kaipataje?? unajua vigezo vya kupata epl medal??? i dont think so.....ungejua usingesema man utd walichukua hilo kombe bila mchango wowote wa scholes
 
aisee....scholes alistaafu 2011 akarudishwa na fergie tena 2012/13 akasaidia ubingwa....sasa tangu astaafu man utd walitwaa epl titles zipi??? halafu nyinyi ndio mnaita watu mashabiki maandazi....amazing!

angalia scholes honors

Manchester United

im done with this discussion!

Individual*.Ballon d'Or Bronze Award(1): 2005*.UEFA Club Footballer of the Year(1): 2005*.FWA Footballer of the Year(1): 2009*.FWA Tribute Award(1): 2013*.PFA Players' Player of the Year(1): 2006*.PFA Young Player of the Year(1): 2001*.PFA Fans' Player of the Year(2): 2001, 2009*.England Player of the Year Award(2): 2007, 2012*.PFA Team of the Year(8): 2001, 2004, 2005, 2006, 2007, 2008, 2009, 2014*.Liverpool Top Goalscorer(3):2004–05,[219]2005–06,[220]2008–09[221]*.UEFA Euro Team of the Tournament(1): 2012*.UEFA Team of the Year(3): 2005, 2006, 2007*.FIFA/FIFPro World XI(3): 2007, 2008, 2009*.ESM Team of the Year(1): 2008–09*.Goal of the Season(1): 2006*.UEFA Champions League Final Man of the Match(1): 2005*.FA Cup Final Man of the Match(1): 2006*.Premier League Player of the Month Award(6): March 2001, March 2003, December 2004, April 2006, March 2009, March 2014*.ECHO Sports Personality of the Year Award(1): 2014*.Member of the Order of the British Empire: 2007*.Honorary Fellowship fromLiverpool JohnMoores University: 2008*.BBC Sports Personality of the Year Award– 3rd Place: 2005*.IFFHS World's Most Popular Footballer: 2006
 
[h=2]Honours[/h] [h=3]Club[/h] Manchester United
[h=3]International[/h] England
[h=3]Individual[/h]

#im done with this discussion
 
hizi ndio tuzo alizo chukua Steven Gerard akiwa Liverpool

*.Ballon d'Or Bronze Award(1): 2005
.UEFA Club Footballer of the Year(1): 2005
*.FWA Footballer of the Year(1): 2009
*.FWA Tribute Award(1):
2013
*.PFA Players' Player of the Year(1): 2006
*.PFA Young Player of the Year(1): 2001
*.PFA Fans' Player of the Year(2): 2001, 2009
*.England Player of the Year Award(2): 2007, 2012
*PFA Team of the Year(8): 2001, 2004, 2005, 2006, 2007, 2008, 2009, 2014
*Liverpool Top Goalscorer(3):2004¨C05,[219]2005¨C06,[220]2008¨C09
*.UEFA Euro Team of the Tournament(1): 2012
*.UEFA Team of the Year(3): 2005, 2006, 2007
*.FIFA/FIFPro World XI(3): 2007, 2008, 2009
*.ESM Team of the Year(1): 2008¨C09
*.Goal of the Season(1): 2006
*.UEFA Champions League Final Man of the Match(1): 2005
*.FA Cup Final Man of the Match(1): 2006
*.Premier League Player of the Month Award(6): March 2001, March 2003, December 2004, April 2006, March 2009, March 2014
*.ECHO Sports Personality of the Year Award(1): 2014
*.Member of the Order of the British Empire: 2007
*.Honorary Fellowship fromLiverpool JohnMoores University: 2008
*.BBC Sports Personality of the Year Award¨C 3rd Place: 2005
*.IFFHS World's Most Popular Footballer: 2006
 
Ebu weka links kuonyesha hizo timu kubwa zilizomtaka Gerrard, na links zinazoonyesha kuwa yeye alikataa.

Pili, kuna mkuu awali amekwambia SG bila ya akina Xabi Alonso, Mascherano, Torres na Suarez, ameifanyia nini Liverpool? Katika mashindano ambayo Liverpool imeshinda vikombe, ebu weka lineups, halafu udhiirishe namna SG alivyoibeba timu bila ya hao niliowataja juu na wengineo.

1.Kumbe naongea na watu walio anza kuona soka hivi karibuni na kwa statement hiyo bold nimedhirisha haya
2.kina Torres walikuwepo Instanbul?Walicheza bao la dakika za mwisho na wagiriki kupata ticket ya kuingia round ya pili mwaka,walikuwepo tulipokuwa nyuma 3-0 pale Instanbul?Akina Masherano walikuwepo siku SG anawaahibu WHU fainali ya FA?

Mourinho begs Real Madrid to make £30m bid for Gerrard | Daily Mail Online

Alex Ferguson: I tried to bring Steven Gerrard to Manchester United but he's not a 'top, top' player - Telegraph

""Sir Ferguson has claimed that Liverpool are eight players short of constructing a squad that could win the Premier League and questioned Steven Gerrard's reputation as one of the best midfielders in the world.

Despite admitting that he was interested in signing Gerrard when he almost joined Chelsea in 2005, Ferguson says in his autobiography that the Liverpool and England captain "was not a top top player".

He also noted that, when Paul Scholes and Roy Keane were playing together for Manchester United against Liverpool, Gerrard "seldom had a kick".

Mmejionyesha wengi na matamko yenu ya ajabu kama ni wageni kwenye soka hamkuwepo miaka hii!!

hizi ndio tuzo alizo chukua Steven Gerard akiwa Liverpool

*.Ballon d'Or Bronze Award(1): 2005
.UEFA Club Footballer of the Year(1): 2005
*.FWA Footballer of the Year(1): 2009
*.FWA Tribute Award(1):
2013
*.PFA Players' Player of the Year(1): 2006
*.PFA Young Player of the Year(1): 2001
*.PFA Fans' Player of the Year(2): 2001, 2009
*.England Player of the Year Award(2): 2007, 2012
*PFA Team of the Year(8): 2001, 2004, 2005, 2006, 2007, 2008, 2009, 2014
*Liverpool Top Goalscorer(3):2004¨C05,[219]2005¨C06,[220]2008¨C09
*.UEFA Euro Team of the Tournament(1): 2012
*.UEFA Team of the Year(3): 2005, 2006, 2007
*.FIFA/FIFPro World XI(3): 2007, 2008, 2009
*.ESM Team of the Year(1): 2008¨C09
*.Goal of the Season(1): 2006
*.UEFA Champions League Final Man of the Match(1): 2005
*.FA Cup Final Man of the Match(1): 2006
*.Premier League Player of the Month Award(6): March 2001, March 2003, December 2004, April 2006, March 2009, March 2014
*.ECHO Sports Personality of the Year Award(1): 2014
*.Member of the Order of the British Empire: 2007
*.Honorary Fellowship fromLiverpool JohnMoores University: 2008
*.BBC Sports Personality of the Year Award¨C 3rd Place: 2005
*.IFFHS World's Most Popular Footballer: 2006
Nzi Mentor RRONDO

Mwaka 2003-2008 SG alikuwa achana nae kabisa,pekee yake alikuwa anaibeba team!Mbali na medals za ubingwa za Man U alizopata kama collectively effeort,tuzo zake hizo ulizoziweka RRONDO kweli zinamfikia hata nusu SG?
 
Last edited by a moderator:

Fananisha na hizi za SG!!Ni vitu viwili tofauti kabisa!Ni sawa na bajaji na Benzi!Mtu anayeteuliwa hadi 3 bora ya Ballon na MCHEZAJI BORA WA EPL unafananisha na mtu mwenye tuzo nyingi za EPL alizopata kwa sababu ya uimara wa team yake na uzuri wa kocha wake kweli?

By Erick tryphonehizi ndio tuzo alizo chukua Steven Gerard akiwa Liverpool

*.Ballon d'Or Bronze Award(1): 2005
.UEFA Club Footballer of the Year(1): 2005
*.FWA Footballer of the Year(1): 2009
*.FWA Tribute Award(1):
2013
*.PFA Players' Player of the Year(1): 2006
*.PFA Young Player of the Year(1): 2001
*.PFA Fans' Player of the Year(2): 2001, 2009
*.England Player of the Year Award(2): 2007, 2012
*PFA Team of the Year(8): 2001, 2004, 2005, 2006, 2007, 2008, 2009, 2014
*Liverpool Top Goalscorer(3):2004¨C05,[219]2005¨C06,[220]2008¨C09
*.UEFA Euro Team of the Tournament(1): 2012
*.UEFA Team of the Year(3): 2005, 2006, 2007
*.FIFA/FIFPro World XI(3): 2007, 2008, 2009
*.ESM Team of the Year(1): 2008¨C09
*.Goal of the Season(1): 2006
*.UEFA Champions League Final Man of the Match(1): 2005
*.FA Cup Final Man of the Match(1): 2006
*.Premier League Player of the Month Award(6): March 2001, March 2003, December 2004, April 2006, March 2009, March 2014
*.ECHO Sports Personality of the Year Award(1): 2014
*.Member of the Order of the British Empire: 2007
*.Honorary Fellowship fromLiverpool JohnMoores University: 2008
*.BBC Sports Personality of the Year Award¨C 3rd Place: 2005
*.IFFHS World's Most Popular Footballer: 2006
 
wewe naona nikuache tu....unajichanganya tu kwanza man utd walichukua kombe 2013....2012 ni man city....2014 man city....2015 tunasubiri bado

Manchester United

unaweza kusema man utd wamechukua kombe bila mchango wowote wa scholes [2012-13 sio kama unavyodhani] sasa hio epl medal kaipataje?? unajua vigezo vya kupata epl medal??? i dont think so.....ungejua usingesema man utd walichukua hilo kombe bila mchango wowote wa scholes

Mkuu wapi huelewi?Kuchangia ubingwa na kupata medal ktk kikosi ni vitu viwili tofauti kabisa!Kweli mchango wa Sholes mwaka 2012-13 walipotwaa ubingwa ilikuwa sawa na miaka ya zamani walipotwaa ubingwa?

Scholes alicheza mechi 8 tu za EPL aliporudi mara ya pili na karibia zote HAKUWAHI kumaliza na alifunga bao moja tu!Kupata medals SIO issue kwani hata Anderson au keeper Lindagaard nao walipata!Winga Nani alipata medal pia na games zake 7 tu ehehehehe

Issue yangu ipo pale pale hata bila Scholes Man U wangetwaa ubingwa lkn Liverpool bila SG wasingetwaa hata Capital One
 
Back
Top Bottom