nyangelekene
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 481
- 344
kutolewa kwa SG na CAN kuchukua nafas ndokulitaka igalim timu coz CAN pemben alichemka hakuwa na impact alifanya MDS wa sunderland wa relax na kuja sana mbele..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...
And the winner is...View attachment 218072
lallana tumemnunua kwa paundi chache kulinganisha na manure walivomchukua Di maria ila wote wana magoli 4 japo di Maria kacheza mechi mingi as die hard liverpool fan tumekula bingo kwenye sajili ila bado kwa Ballo na Lambert
At least Loserfool's god got something from today's FIFA award..View attachment 218099

Dr Zalf also leaves #lfc
Habari hii kuwa tumempata LAVEZZI kwa £ 8m imekaaje
Mkuu, mbona kuna timua timua hivi? au ni ile blunder ya Remy who was declared unfit ila kwa chelsea yupo fit. Kuna watu wapo pale utadhani ni inside job aisee katika kipindi cha miaka 10 usajili wa maana ni mchache sana ukilinganisha na hela iliyotumika na sasa hivi wanamtaka Delph kumreplace lucas leiva wanaetaka kumuuza Napoli

