Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It was sakho's show again....fantastic display from the strong CB,hivi kulikuwa na umuhimu gan wa kupoteza £20m kumnunua lovren wakati Una agger na sakho?....anyway...hopeful MosDef unanielewa sasa kwanini Mimi tangu last year Ni pro-Sakho....
Ni kweli gari linaonekana kuwaka lakini still tunaitaji stricker anayeweza kufunga na co vinginenyo,kumtegemea ds kwa kuwa amekaribia kurudi sio solution kwan kwake kuwa majeruhi ni laisi kuliko kuwa majeruhi!since tunatengeneza shorts on target chache we need a clinical finisher ndg zangu unless otherwise sterling,cout,marcovic,hendo &even lucas l inawalazimu waanze kufunga na co may be moreno&skretel from the back!lallana ni msahada mzuri but naye miguu mibovu..!tushinde game 5 mfululizo natumai tutakuwa in top 4 bila wasiwasi wowote.
Jamani kuna habari mbaya leo!Lucas HATAKI kubaki Liverpool anadai kocha BR alikuwa anamdharau sana kipindi kile HACHEZI msimu wa mwaka jana!
BR hajui kabisa ku deal na wachezaji,hata SG kuondoka kwake ni sababu yake yy!Kocha sijui kazungukwa na washauri gani huyu!Ni kocha wa ajabu sana
Siku yangu imeharibika sana maana Lucas ndiyo kaishika team hii hasa akiondoka SG ndiyo uwepo wake utahitajika zaidi
Lucas Leiva wants to leave Liverpool amid Inter Milan links - sources - ESPN FC
LOL
Team LineUp ya Leo imeLEAK tena..
Nlishasemaga humu, LFC ndo team inayoongoza kuwa na ITK's wengi mitandaoni kuliko team yeyote duniani!!!
kwenye usajili mwezi huu LFC haipo Active sana, basi wameamua waingie kwenye LineUps...
Wazima wote humu,hongereni kwanza kwa ushindi mfululizo atleast lakini bado mmeng'ang'ania kuwa mtaa wa 8,Leo ndo leo siku ya hatumwi mtoto dukani ni nani mbabe leo? Ni LVP or The blues,haya mimi ntakuwa pembeni nawasindikiza watani wangu na kikombe cha kahawa na popcorn za kutosha,kila la heri watani wangu natumai mcheza kwao hutunzwa hivyo hamtawaangusha mashabiki wenu.
Cc: Malafyale Ed n Edd nEddy Asprin EMT
Basi mkuu uwe unasema ukweli ata km ukiona mwanamke..........sasa unamtia makamba yote hayo kwasababu umeona mwanamke? Huyu miss chagga darajani ni nyumbani kwake kwasababu mimi mme wake niko pale alafu huyu mke wangu anampenda sn Claudio Makelele..........muulize uone atakavo kujibu.
miss chagga ujue nimekumiss sn....
Nimesema kweli tena kweli tupu!Kule hamna uhuru kama hapa kwetu!Huwezi taniana kule na Miss chaga kama hivi maana Manumbu ata mind eheheheh
Dada leo kwanza nafuta kabisa uwezekano wao wanaojipa wa "quadruple"!
Gari limeweka dada!Naelekea Kigamboni sass nichukue japo pweza nifanye supu huku na watch game
Mkuu tunaomba hiyo list pls maana mchana jana alisema SG na MB wata wa asses leo asubuhi
Mignolet.
Can
Skritel
Sakho
Moreno
Lucas
Hendo
Markovic
Coutinho
SG
Sterling
SG kama akiwa Fit ataanza..coz BR amesema anasubiri mpaka Dk ya mwisho kujua kama SG anaweza akaanza leo..so kama ikishindikana Borini/Lallana wanaweza wakaanza!
To win this game BR needs to have respect to chelshit and do what Arsenal did on the last week end.
And to do that we need to be more solidy at the back ...Marko has been brilliant and I am sure he can deal with Azp but I would have jose instead of Moreno
To win this game BR needs to have respect to chelshit and do what Arsenal did on the last week end.
And to do that we need to be more solidy at the back ...Marko has been brilliant and I am sure he can deal with Azp but I would have jose instead of Moreno
Why Jose??? he offers nothing kwenye kuattack..tunaitaji pace kwenye both flanks..unless tuwe tunacheza kwa kujihami zaidi..
Markovic is establishing himself into the first team. Stats zinaonyesha kuwa tunashambulia sana kupitia kwake which is a good sign hata kuwa more useful kama attacking midfield maana ana maamuzi ya haraka