Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool

Karibu kwenye jukwaa la wastaarabu. Mchango wako ni muhimu kwa maendeleo ya timu yetu

Your most welcome!
 
Tukirudia kosa lolote katika eneo la penalty lazima refa atawazawadia penalty, we are lucky so far tumepona hayo matukio mawili
 
with 3 defenders at the back kwa hawa Soton game kwetu itakua ngumu sana hii dah
 
Back
Top Bottom