Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Br....ila namatumain tutashinda coz tutacheza kasi na soton ukiwapeleka kasi unawafunga vizur.....liver 3-0 soton
Mkuu umechungulia tayari nini...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Br....ila namatumain tutashinda coz tutacheza kasi na soton ukiwapeleka kasi unawafunga vizur.....liver 3-0 soton
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool
Ingawa sitaki kushangilia hadi mwisho ila goli la Coutinho is amaizing
Ingawa sitaki kushangilia hadi mwisho ila goli la Coutinho is amaizing
Well done naskia mvua yanyesha sana, tutaweza kulilinda!!
Tukirudia kosa lolote katika eneo la penalty lazima refa atawazawadia penalty, we are lucky so far tumepona hayo matukio mawili
Penalty hii ya pili refa katubeba