Tores
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 551
- 475
Ki-ukweli BR na team yake wanastahili pongezi kubwa sana kwa ushindi wa jana.Br has done a very big job....and all his summer signings wanaonekana kama ndio kawasajili jana tu....embu waangalie Can, Moreno, Lallana and Markovic wote wanafanya vizuri sana tena sana.
Bila kusahau the tactical switch at half time by BR, bringing Moreno on for Markovic. This switch made the reds far more solid and limited the Saints threat out wide. Well done BR, keep up the good work. "
Hahaaaa naona Br haters wote wanaingia mitini siku hizi..... jamani five clean sheets away from home sio kitu kidogo ni mafanikio makubwa sana...ingawa mwanzoni mwa msimu tulianza vibaya lakini this time around BR amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kubadili mbinu na mfumo mzima wa team na sasa tunafanya vizuri.Sasa hivi tunakikosi kikubwa ambacho kinaweza kushindana popote.
Vile vile bila selfishness ya DS tungeweza kushinda goli hata nne......MS ni bonge la beki nacheza kijadi sana...anastahili kua captain baada ya G8.
Kumbe bench nalo linasaidia sana.....Naona jana Allen alifanya vizuri sana.alikua kama screen guard kwa mabaki wake...amefanya successful tackles nyingi tu.
Can naye ndio mbaya sana siku hadi siku anajiakikishia namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza.
Nachompendea Moreno ni kua ni mbishi na akubali loose possession kirahisi kabisa.
kupigwa bechi kunasaidia ona SM anavyofanya saves za nguvu....amekua imara zaidi golini.alistahili kua man of the match jana.
JI ndio hatari sana huyo dogo....akibaki one against one lazima akupige chenga.
Angalizo:
Ndugu zangu ....wanaliverpool wenzangu tujifunze uvumilivu....you are No liverpool supporter if you can't get behind the team and the manager, BR your tactics are working i can smell higher position than 4th spot!!!!
YNWA