Safi sana southampton tumemshusha!
Ila bado shughuli ni pevu, hii top four ina shughuli kukaa hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana southampton tumemshusha!
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:A S-frusty2::A S-frusty2:Lovren naye anaye wenge sana anakaba tu kwa macho naona city wana2mia upande wake sana, coutinho yuko vizur sanaaa
Pale kosa lilikuwa la Skrtel alitakiwa abakie kwenye ile position ile ile wakati lovren akimkaba Aguero
With today defeat City have handled (un-officially) the EPL title to Chelsea.
Ila bado shughuli ni pevu, hii top four ina shughuli kukaa hapo.
Ila bado shughuli ni pevu, hii top four ina shughuli kukaa hapo.
Hongereni loserfools kwa kutupunguzia gap ya kugombania nafasi ya pili...
Msijali Europa mtashiriki tu...