Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Anaongea tu!!
Mimi siyo bubu..hivyo kuongea siyo jambo la ajabu...
Wewe na wenziyo ni mabubu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongea tu!!
Rentboys wanaweza kupigwa na West Ham mid-week!!
Wakipigwa gap linapungua sana kati yao na walio chini yake...
Tatizo la Rentboys ni kuwa wapo very defensive. Kila mechi wana prioritize kudefend then wanashambulia kwa kubahatisha bahatisha. Kila wanapocheza kiushambuliaji wanashindwa kuondoka na point 3. kitu kingine ushindi wa Liverpool umezidi kuongeza ushindani wa top 4. Sasa hivi Southampton, Arsenal, Man utd, Liverpool, City timu yoyote inaweza kumaliza katika nafasi ya 2.
Mimi siyo bubu..hivyo kuongea siyo jambo la ajabu...
Wewe na wenziyo ni mabubu?
Dreamer...........
Jidanganyeni tu na eti wanalinda tu waulizeni hawa LFC wanaijua shughuli yetu.
hahahaaaa.... umeichukulia vibaya, mie nililmaanisha unaongea tu, ila humaanishi - manure will never finish second!!
Its a good day today bro