The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Manure were lucky again! But it is not very long time when their lucky will ran out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA kweli leo Manure wamepata bahati kubwa sana... I couldnt believe ile giftManure were lucky again! But it is not very long time when their lucky will ran out
KWA kweli leo Manure wamepata bahati kubwa sana... I couldnt believe ile gift
Ila Newcastle nao sio wazuri kivile...
jambo la kutia faraja ni kwamba Manure wana gemu ngumu zaidi ya sisi...
Siyo wazuri kwakweli maana walikupiga na wakampiga Chelsea.......
thanks... it seems unasahau kwamba kuna time factor and change of manager has affected Newcastle a lot! when we talk of soccer, everything hinges on time, form and available squad
Thanks for quoting me... I am honored!!
Totenham
Liverpool
Man City
Chelsea
Everton
Hapo huwezi pona na hata ww unajua Liverpool atakupita
Top four nyie hamuioni ata mfanyeje ata mcheze mpira wa kufia uwanjani hamuingii kodo.
Angalieni ratiba ya timu zote ilivokaa na ya kwenu muingalie alafu muone ni wapi na wapi mtaangusha points? Mimi kwa haraka haraka kuna points zaidi ya 6 naziona mtapoteza. 3 kwa chelsea na 3 kwa Arsenal. Hii Manu kuna uwezekano mkubwa mkashindwa kuifikia.
Niko hapa mtakuja kuniambia.
Arsenal na Chelsea huyu hawezi nifunga mm!
Man U huyu akipata hata sare Anfield naacha kushabikia soka
Sawa mkuu,
Nitaitafuta hii post yako nikukumbushe haya maneno yako.
Top four nyie hamuioni ata mfanyeje ata mcheze mpira wa kufia uwanjani hamuingii kodo.
Angalieni ratiba ya timu zote ilivokaa na ya kwenu muingalie alafu muone ni wapi na wapi mtaangusha points? Mimi kwa haraka haraka kuna points zaidi ya 6 naziona mtapoteza. 3 kwa chelsea na 3 kwa Arsenal. Hii Manu kuna uwezekano mkubwa mkashindwa kuifikia.
Niko hapa mtakuja kuniambia.
Thanks too......Ohh!! Vizuri sana Kumbe unalijua hilo sasa mbona mnashout sana kwa Manu?
Ulitaka tushout kwa timu gani? au hujui kwamba liverpool na manure ni watani wa jadi??
Totenham
Liverpool
Man City
Chelsea
Everton
Hapo huwezi pona na hata ww unajua Liverpool atakupita