Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Coutinho akifikisha miaka 23-24, lazma ndugu zetu wawili wa Spain waje kugonga Hodi!!!!
Sasa hapa ndo FSG wanatakiwa watafute dawa ya kudumu.
Tuta-re-establish vipi dynasty kama ile ya 70s-80s kwa kusubiri na ku-hope for the best???