Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante!!Ndo mpira wa miguu ulivyo, huwa haungalii unacheza na nani bali ni upinzani gani anauonyesha ndani ya dk 90. Otherwise nawatakia majogoo kila la kheri ktk game ya marudiano.
Blackburn wapo vizuri
Team moja imekuja kucheza mpira ,ingine imekuja kutafuta reply kuongeza mapato yao
walikuja kutafuta reply waongeze mapato na wamefanikiwa
Safari yao FA inaishia kwao