Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ha ha ha ha ha mind the gap!!Watu wanakuja kimya kimya we kaa na viporo uone

Hahaaaaa mkuu najua viporo wakati mwingine huchacha na hasa ktk ligi yenye fitina km hii ya Uingereza....Binafsi viporo sivipendi sn ni bora tuwe tunatangulia kucheza sisi.....hao wanaokuja kimya kimya mimi hawanitisha bwana...

Mkuu ujue Kuna uwezekano mkubwa LFC tukafanya malipizi kwako kumsaidia City kama wewe ulivyomsaidia last season
m

Mkuu malipizi huwezi kufanya kwanza hio mechi itakua karibu na ligi kuisha na mpk wakti huo tayari picha ya ubingwa itakua imeshajulikana kua ni nani bingwa....
 
Hahaaaaa mkuu najua viporo wakati mwingine huchacha na hasa ktk ligi yenye fitina km hii ya Uingereza....Binafsi viporo sivipendi sn ni bora tuwe tunatangulia kucheza sisi.....hao wanaokuja kimya kimya mimi hawanitisha bwana...

m

Mkuu malipizi huwezi kufanya kwanza hio mechi itakua karibu na ligi kuisha na mpk wakti huo tayari picha ya ubingwa itakua imeshajulikana kua ni nani bingwa....

Ujue wakati uo ndio itakua mmefungana hapo ndio nikikupiga ama sare, City akishinda anabeba!!Hapo ndio Utajua tulikasirika vipi na ulivyoharibu sherehe Anfield......ha ha ha ha Usiombe itokeee
 
Ujue wakati uo ndio itakua mmefungana hapo ndio nikikupiga ama sare, City akishinda anabeba!!Hapo ndio Utajua tulikasirika vipi na ulivyoharibu sherehe Anfield......ha ha ha ha Usiombe itokeee

Kwanza mkuu kutaka kujua kua sisi sasa tumeamua kua mabingwa fatilia mchezo wetu hapoa badae na Hull City...huu mchezo ni mgumu sn lkn points tatu ni muhimu sn mkuu.

Alafu uajua ktk wiki mbili zilizopita hapa nyuma chelsea hatukua vzr na ninafikiri kocha atalifanyia kz na nikizungumzia huo mchezo wetu na nyie wa tarehe 9 mwezi wa tano wakati huo tayari bingwa atakua ameshajulikana lol.
 
TEAM NEWS

Liverpool team: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Allen, Henderson, Moreno, Lallana, Coutinho, Sterling, Sturridge.

Substitutes: Jones, Johnson, Toure, Gerrard, Lambert, Lucas, Balotelli.
 
The pride of Merseyside
 
Attachments

  • 1427027526578.jpg
    1427027526578.jpg
    9.1 KB · Views: 97
  • 1427027563078.jpg
    1427027563078.jpg
    8.1 KB · Views: 54
  • 1427027832225.jpg
    1427027832225.jpg
    13.3 KB · Views: 57
TEAM NEWS

Liverpool team: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Allen, Henderson, Moreno, Lallana, Coutinho, Sterling, Sturridge.

Substitutes: Jones, Johnson, Toure, Gerrard, Lambert, Lucas, Balotelli.

Van Gaal akipanga kikosi chake vzr mnapigwa leo hasa akiweka watu watatu pale kati, Carrick, Herera na Fellain kz mtaipata....
 
Author: Chris Shaw
Brendan Rodgers has named an unchanged line-up for Liverpool's Barclays Premier League clash with Manchester United this afternoon.

For a crucial match-up in the race for Champions League qualification, the boss has selected the same starting XI that faced Swansea City on Monday.
There are two alterations on the bench, however - Mario Balotelli and Lucas Leiva are fit enough to replace Dejan Lovren and Lazar Markovic as substitutes.
Liverpool team: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Allen, Henderson, Moreno, Lallana, Coutinho, Sterling, Sturridge.
Substitutes: Jones, Johnson, Toure, Gerrard, Lambert, Lucas, Balotelli.
 
Naweza kua tofauti na mawazo ya Kopite wengi, binafsi nilitamani SG8 aanze Lallana DS aje tokea benchi ili kati tuwe na

Gerrard, Allen, Hendo
 
Back
Top Bottom