Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
all the best kops
You will never win again lol
You will never win again lol
Ha ha ha ha ha mind the gap!!Watu wanakuja kimya kimya we kaa na viporo uone
mMkuu ujue Kuna uwezekano mkubwa LFC tukafanya malipizi kwako kumsaidia City kama wewe ulivyomsaidia last season
Hahaaaaa mkuu najua viporo wakati mwingine huchacha na hasa ktk ligi yenye fitina km hii ya Uingereza....Binafsi viporo sivipendi sn ni bora tuwe tunatangulia kucheza sisi.....hao wanaokuja kimya kimya mimi hawanitisha bwana...
m
Mkuu malipizi huwezi kufanya kwanza hio mechi itakua karibu na ligi kuisha na mpk wakti huo tayari picha ya ubingwa itakua imeshajulikana kua ni nani bingwa....
Ujue wakati uo ndio itakua mmefungana hapo ndio nikikupiga ama sare, City akishinda anabeba!!Hapo ndio Utajua tulikasirika vipi na ulivyoharibu sherehe Anfield......ha ha ha ha Usiombe itokeee
TEAM NEWS
Liverpool team: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Allen, Henderson, Moreno, Lallana, Coutinho, Sterling, Sturridge.
Substitutes: Jones, Johnson, Toure, Gerrard, Lambert, Lucas, Balotelli.
Van Gaal akipanga kikosi chake vzr mnapigwa leo hasa akiweka watu watatu pale kati, Carrick, Herera na Fellain kz mtaipata....
The pride of Merseyside
Ha ha ha ha ha ha ha subiri uone raha ya game