Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alicho ki-post Skrtel IG after 3 match ban baada ya appeal yake kukataliwa
 
Attachments

  • 1427301988790.jpg
    1427301988790.jpg
    36.3 KB · Views: 140
Mkuu hapa alimaanisha nini. Sijamuelewa

Ameonyesha jinsi Loserfools walivyo clowns 😂😂😂

Yaani Stevie kakubali kosa lake. Ila huyo muhuni wa Eastern Europe anajitutumlisha kwa kujifanya hana kosa!

Naamini FA wakipata evidence ya kujiridhisha kwa huyo sketi kawadharau, basi lazima aongezewe bakhshishi.
 
Mkuu hapa alimaanisha nini. Sijamuelewa

Kwamba FA is more than a joke na hii inaweza m backfire akaongezewa game hadi 2 zaidi

Ukifungiwa tena baada ya kushindwa rufaa yako haina haja ya ku mock maamuzi ya FA
 
Kwamba FA is more than a joke na hii inaweza m backfire akaongezewa game hadi 2 zaidi

Ukifungiwa tena baada ya kushindwa rufaa yako haina haja ya ku mock maamuzi ya FA

Some time FA ni wapumbavu na wabaguzi. Issue ya Suerez Vs Evra na Terry Vs Ferdinand.
 
Some time FA ni wapumbavu na wabaguzi. Issue ya Suerez Vs Evra na Terry Vs Ferdinand.

Ni kweli mkuu
Lkn alipaswa kutumia hekima tu kuwa kwa sasa Liverpool inamuhitaji Skrtel kuliko kipindi chochote kile

Kweli Lovren ndiyo tumtegemee Emirates jamani?
 
Ni kweli mkuu
Lkn alipaswa kutumia hekima tu kuwa kwa sasa Liverpool inamuhitaji Skrtel kuliko kipindi chochote kile

Kweli Lovren ndiyo tumtegemee Emirates jamani?

Soo sad, na huu mfumo wake ni lazima aubadilishe na akiung'ang'ania tutapoteza nusu ya mechi zilizobaki
 
So far hatuna uhakika wa RS na Arsenal
Vipi kuhusu Lallana wadau?
Lovren aliitwa team ya Taifa Croatia?Maana sasa tunamtegemea huyu mchezaji,asije akaumia
 
Hizi taarifa za kumuhitaji James Milner hata zipendi aiseee, tukichukua Milner ntaamini kweli tumeishiwa ktk kununua vilivyo bora.
 
Jamie Carragher's XI
Pepe Reina, Jon Flanagan, Jamie Carragher, Alvaro Arbeloa, Martin Kelly, Harry Kewell, Stewart Downing, Lucas, Jonjo Shelvey, Didier Drogba, Mario Balotelli.
Subs: Peter Gulacsi, Luis Garcia, Craig Noone, Alberto Moreno, Gael Clichy, Fabio Borini, Craig Bellamy

Steven Gerrard's XI
Brad Jones, Anthony Gerrard, Glen Johnson, John Terry, John Arne Riise, Kevin Nolan, Steven Gerrard, Xabi Alonso, Ryan Babel, Thierry Henry, Jerome Sinclair
Subs: Scott Dann, Ashley Williams, Luis Suarez, Fernando Torres, Charlie Adam, Jay Spearing, Stephen Warnock, Joao Carlos Teixeira

Back
Top Bottom