Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The boy (Sterling) looks really stressed up, hali ambayo kwa kweli ni self-inlicted.
Huyu dogo nilikuwa nam-support sana (because he has simply been amongst our best kwenye ile mediocre lot tuliyo nayo) hadi hivi majuzi alipofanya ile media interview akaongea load of shit (aka "mavi/ushuzi").
Unless awe na extraordinary performance between now and May, BR will need to play hard ball with him hadi ashike adabu (wala wasimuuze - awe anaanzia benchi au asipangwe kabisa now and then, halafu abaki na hiyo 30K/week yake ya sasa hadi amalize mkataba wake aondoke. Hii ikitokea, am sure ata-end up kuwa wa 5 au 6 kwenye pecking order ya selection ya Roy Hodgson..... ndipo atajuta kuijua LFC!).
Tunaye mbadala Ibe - huyu dogo if he can keep himself fit na akawa developed na kupewa game time kama alivopata Sterling last season, mimi naona uwezo wake utakuwa ni sawa na Sterling plus 25%.
John Terry names Liverpool star Philippe Coutinho as his Player of the Year
Naona captain amewatosa wakina Hazard, Oscar, Costa, Willian nk
John Terry names Liverpool star Philippe Coutinho as his Player of the Year
Naona captain amewatosa wakina Hazard, Oscar, Costa, Willian nk
Ilikua kosa sana kumuondoa Jonjo Shelvey
Uwezo wake mkubwa sana kijana huyu
everlenk umejitayarisha kisaikolojia Kun "King" Aguero akianza kula damu kesho?
Ilikua kosa sana kumuondoa Jonjo Shelvey
Uwezo wake mkubwa sana kijana huyu
Kocha wako alitaka kusafisha wachrzaji wote alioeakuta Lucas, hendo na starling wameponea chupu chupu