Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best Managers kwa msimu huu..
1. Koeman
2. Jose Mourinho
3. Alan Pardew
Matokeo ya Utd na City yapo jst like what I wanted, Now inatakiwa tushinde ksho ili gap liwe 4points and let us keep on winning our games, tunaweza kufukuzana na uyu City maana wameshapoteana baada ya kutoka ktk mbio za ubingwa, yaani kama Kapigwa na Palace, Kapigwa na Burnley basi any underdog can surprise City.
Ule utabiri wa BR kuwa atamaliza wa 2 ndio mmeukatia tamaa kabisa?
Worst moments kwa Upande wangu this season.
1. SG annoucement on leaving LFC!
2. Suarez departure
3. Daniel Agger departure
4. Missing on Remy!
5. The signing of Lambert
6. LFC vs Basel at Anfield
7. Man utd 3-0 LFC
8. LFC 1-2 Man utd
9. Arsenal 4-1 LFC
10. Flannagan rejecting new contract.
LFC and Manure are the 2 most successful clubs in England. The best thing for you people is to learn from them how they achieved that feat!!Hivi ni kwa nini Liverpool na Manchester United huwa mnalazimisha wachezaji kuendelea kuchezea timu zenu? Kila wakati mchezaji akitingisha kiberiti kusaini mkataba wa kuendelea kuchezea timu zenu Wapenzi na Washabiki wanamjia juu kumzomea, vitisho vya vifo, kumwandama hadi nyumbani kwake nk. Sterling sasa hivi yupo katika wakati mgumu, Wana-Liverpool wanamsakama kila kona akitazayo sababu tu anajisikilizia kusaini mkataba.Huwezi kuona ARSENAL taifa kubwa tukimbembeleza mchezaji ki-hivi. Kina Henry, Petit, Anelka,Overmass, Edu, Fabregas, Adebayor, Nasri nk waliuzwa pindi walipotaka kuondoka, tofauti na Liverpool mlivyomfanyia Steven Gerrard Enzi zile halikadharika Manchester United walivyowafanyia Tevez,Heinze na Rooney. Huku kumbembeleza kuna maana gani kwa vilabu Vikongwe nasema tena vikongwe( angalia kamusi ya vikongwe/mkongwe/kikongwe) katika medani ya Soka England? Je hizi ni dalili za mvua au?
Btw hivi badala ya kutag watu unaweza kupost one article katika multi threads bila ya kuiandika zaidi ya mara 1?
Cc: DonDonald,Malafyale,Belo, Kitwala,RRONDO,Ntuzu,Everlenk,BAK,Wacha1,utafiti,Nzi
Mueleze....hajui mpira kwa upande mwingine ni bussness.....pindi mchezaji anapokuwa anatishia kuondoka kuna mawili....LFC and Manure are the 2 most successful clubs in England. The best thing for you people is to learn from them how they achieved that feat!!
LFC and Manure are the 2 most successful clubs in England. The best thing for you people is to learn from them how they achieved that feat!!