Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

TORRESSPLASH_1239666a.jpg

Kazi mnayo kukaa na kifaa chenu ..... ..
 
Torres kasahau Owen alivyohama kwa mbwembwe!
 
liverpool ilifanya makosa toka ilipomuuza Alonso,binafsi napenda wachezaji waspain,sasa chelsea ntaipenda 7bu ya Torres,Man Utd niliipenda 7bu ya Pique alie Barcelona FC sasa,na kipa Ricardo alikuwepo 2002 msaidizi wa Barthez yupo Osasuna sasa iliyomfunga Real Madrid juzi yeye akiwa golini,Arsenal namfagilia Fabregas,Everton saluti kwa Arteta
 
Naamini mseto wa suarez(street fighter) na carroll utafariji wana anfield kuliko torres ambaye kwa kipindi cha karibuni bado alikuwa anachechemea kurudi kwenye kilele cha ufumania nyavu kilicho watia wazimu mashabiki. Heri zake darajani!
 
Haikufaa Rangi...
Je itafaa Chokaa?
 
Mwache aondoke zake...
wangapi walikuwa wakali wakaondoka na bado liver ipo!!!!

We willl never walk alone bana...
 
Liverpool Current Run :- Last three games they won with clean sheets.

WOLVES 0 - LIVERPOOL 3 Sat 1/22
FULHAM 0 - LIVERPOOL 1 Wed 1/26
STOKE 0 - LIVERPOOL 2 Wed 2/2

Three Last games of Liverpool - It seems like this club is comming back. But the sunday game against chelsea came too soon for them - sorry!! - In other worlds your current run won't justfy to beat CHELSEA.

You still have to do your homework to get back to your standards.
 
Naamini mseto wa suarez(street fighter) na carroll utafariji wana anfield kuliko torres ambaye kwa kipindi cha karibuni bado alikuwa anachechemea kurudi kwenye kilele cha ufumania nyavu kilicho watia wazimu mashabiki. Heri zake darajani!

Torres anaenda kumalizia career yake ya mpira Chelsea kama alikuwa anataka kombe asingeenda huko....
 
Torres anaenda kumalizia career yake ya mpira Chelsea kama alikuwa anataka kombe asingeenda huko....

Labda tuwakumbushe kwa nini Tor the res ameenda Chelsick .... ..... ..... ..... alianza kufuatwa tangu mwaka jana wakati Abraham O Vich alipoahidi kutoa donge la £100,000.00 lakini kutokana na kiwango chake kudidimia imebidi alipwe nusu angalia hapa chini huo ulikuwa ni mwezi wa tatu mwaka jana.

splash_-_chelsea_1007551a.jpg

Angalau mmeondoa one of the moles ambaye alikuwa amevaa ngozi ya kondoo .... .... ...

Then anajifanya ati hatashangilia akifunga ... .... kwani anafikiri atapata goli ..... ..... nafikiri amepata kichaa cha mbwa sasa, kwani Loser fools will do everything possible asione ndani ..... ....

sport-splash2_1244467a.jpg

Khe khee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nitakukumbusha haya maneno yako wakati akinyanyua kombe, kumbuka Chelsea sio kama pretenders Fat Arse.

Wacha majungu wewe 12 games mmeshinda mechi tatu is that a winning side - Nay. Khe khe kheeeeeeeeeeeeee na hizo mechi tatu mmeshinda mediocre teams.
 
Nitakukumbusha haya maneno yako wakati akinyanyua kombe, kumbuka Chelsea sio kama pretenders Fat Arse.

Chelsick rina records gani?

Chelsea FC

Firsts

Liverpool FC

Winners (18):1900–01, 1905–06, 1921–22, 1922–23, 1946–47, 1963–64, 1965–66, 1972–73, 1975–76, 1976–77, 1978–79, 1979–80, 1981–82, 1982–83, 1983–84, 1985–86, 1987–88, 1989–90Runners-up (12): 1898–89, 1909–10, 1968–69, 1973–74, 1974–75, 1977–78, 1984–85, 1986–87, 1988–89, 1990–91, 2001–02, 2008–09Hapo hatujachukua za first runnup na UEFA....
 
Bado gemu 13, vijana wanarudi kwenye foam na hivi karibuni watachupa nafasi mbili juu, mtaona.
 
Inaonekana kuwa carol ni mchezeshaji wa timu zaidi kuliko tores..
 
Attachments

  • Carol Vs Tores.JPG
    Carol Vs Tores.JPG
    37.7 KB · Views: 41
Inaonekana kuwa carol ni mchezeshaji wa timu zaidi kuliko tores..

Torress ni mvivu hajui kujibidiisha uwanjani anangojea counter attack ambao ni mchezo wa kizamani watu wanataka entertain games goli linatengenezwa kuanzia katikati ya uwanja. Utaona hapo kwenye kiambatanisho chako pass za torres zimepigwa golini mwa adui wakati za Caroll zimepigwa karibia uwanja mzima.
 
Nitakukumbusha haya maneno yako wakati akinyanyua kombe, kumbuka Chelsea sio kama pretenders Fat Arse.
Peasant, kumbuka kwamba Torres has never won any cup at club level... Na cha pili ni kwamba sioni chesi wakichukua kombe msimu huu, labda mwakani, the players are aging, hata dynamo essien siyo yenyewe, lampard ni causality, drogba amezeeka nk.

Unless muanze upya for the next season, and with liverpool new owners dont expect its going to be easy to win
 
Back
Top Bottom