Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YNWA = You will Never Win Anything
Asante mkuu na hongera kwa ushindi! Timu yetu inacheza vizuri tu kasoro mfungaji mahiri pale mbele hakuna... ajabu ni kuwa tetesi nyingi nazoona Liver inahusishwa na viungo zaidi ya washambuliaji.Poleni sana ndio EPL hiyo wazee...
Asante mkuu na hongera kwa ushindi! Timu yetu inacheza vizuri tu kasoro mfungaji mahiri pale mbele hakuna... ajabu ni kuwa tetesi nyingi nazoona Liver inahusishwa na viungo zaidi ya washambuliaji.
usiishie kupondea pekee, tukishinda uwe unaweka. Halafu hicho chanzo chako cha habari tunabifu nacho
Haijalishi mimi na Liver milele na kufungwa na mancity ni heshima kuliko na newcastle. Polepole tutafika tu.
Hili li timu la mibaguzi........halafu libaguzi lenyewe lina kiburi...eti halitoi apology kwa Evra............Li-Suarez linaonyesha wazi kuwa ni libaguzi......damn!
usiishie kupondea pekee, tukishinda uwe unaweka. Halafu hicho chanzo chako cha habari tunabifu nacho
....Guys, YOU WILL NEVER WALK ALONE... hebu iendelezeni thread yenu, duh, mmeuchuna as if hamuongozi league? au hamjiamini amini?
haya.... nitarudi tena humu mpaka mzoee!!!
Aisifue Mvua Ujue Imemnyea (Man SITA)
Kop race storm II
Tom left in tears after vile taunts