Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....cr@p!!
YNWA!!!!-You're Now Walking Alone!teh!teh!teh!
...bitch please!!
Now back to topic... i watched yesterday's game, it was brilliant in every way, we dominated played well and a wonder goal by coates but QPR had a moment of magic!! congrats to them
I would complaint kabisa game ya jana
poleni sana wakuu....
Kenny should go and while doing so he should also take his English **** (Carol, Downing, Henderson and Adam). He has wasted more than £60 million on rubbish English players with no talent whatsoever!! Yaani hata Wigan wanatupiga ndani ya Anfield??
Si amewapa Carling cup jamani? Mnataka nini zaidi wakati mna uhakika wa Europa League (uwanja wenu wa nyumbani)
Mdogo Wake Gerrad ndio alitupa Carling Cup... Timua huyu King Kenny King of What? kama tunavyojuwa ma King huwa wanauliwa huyu aondolewe mbali tena hata kule juu asipewe nafasi kambania Commoli kuleta vifaa vya nguvu sabau ya wale English **** wake Andy Carroll World Class player dah hata tukichukua Mbunge kitambi mmoja bongo atafanya la maana kushinda yeye dogo Raheem Starling kafanya la maana Leo zaidi ya aliyofanya Andy Caroll toka aje.
Huyu Kenny Daglish leo ndio kajifanya kuwakumbuka Raheem Sterling na Eccleston siku zote alikuwa wapi? anawaweka ili apate sababu ya kusema yeye ndio ameweka vibaji vidogo hana lolote mie nataka leo "WIGAN" washinde ili huyu Kenny Daglish na World Class Player wake Caroll waondoshwe upuuzi mtupu Kenny na uwozo wake alioununuwa utupiliwe mbali Hasa Downing na Caroll mnaweza kusema Downing anacheza ila mie naona anakokota tu mpira hajui anapoenda akishindwa ndio ana shoot hana lolote Handerson anapata tabu sababu wabovu wachezaji pale.
wenyeji mpoo? jahazi linazama