The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
We were Lucky for Konate to be not awarded red card. It should be second yellow card for sure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika vitu namheshimu klop ni namna anavyojua kuchagua aina ya wachezaji anaowataka na wanaoendana na falsafa ya team yake.
He knows how nourish a dark-dirted gold into a shining gold.
Huyu mpuuzi huwa naombea asipate tajiri kichaa ambaye hawazii fedha,atasumbua mno
Huyu Ryan Gravenberch ni swala la muda ila ana vitu vingi vya kutuonyesha
[emoji460]️62 mins,
[emoji1626]31/32 succesful passes,
[emoji463] 97% accuracy,
[emoji3478]1 chance created,
[emoji457]2/2 succesful dribbles,
[emoji3532]7 recoveries, 3 interceptions,
[emoji3530] 6/8 ground duels won.
View attachment 2788734
Dah hapa kwa Nunez sijashawishika kabisaHuyu na Nunez naamini watakiwasha sana. Ni vile tu Klopp bado hajamuamini sana Graven ila he deserves 1st eleven.
Namkubali sana Graven magoli na assits zipo mguuni sana.
Hapa timu ipate mchanganyo we are going to have a joy season with less pressure.
Our front men all can deliver. Bado DM tu hapo kwanza
Ana assist 8 na zote kamu assist SalahDah hapa kwa Nunez sijashawishika kabisa
Fabinho surprised Klopp aisee but nwa tetesi ni kwamba Klopp never "liked" th boy especially when he had a rough ride kikosini and i stand with Fabinho on this better kwanza alale dalaz hukoooInaogopesha kweli kweli. Klopp ana struggle kwa kuondoka Fabinho. Nafikiri setups zake na strategies zake zilimuweka Fabinho as his man in the middle of the park.
Usimlinganishe Salah na vitu vya ajabu[emoji1787]
[emoji23][emoji91]hii Livapuli kwq jinsi ilivyo noma aise lazima ibebe ubingwa.
Livapuli Ndoo, Wengine vibakuli
Nyie sasa ndo mnaishi kwa kucopyMechi za kimataifa katupia goli mbili ujue na Uraguay kujiamlisha kwenye msimamo... Wewe ishi kwa ku kopi na pasti huyu mwamba is coming good chini ya Klopp na Marcelo kocha wake timu ya Taifa lazima atateke msimamo na kutuletea ma good times...
YNWA
Dah hapa kwa Nunez sijashawishika kabisa
Fabinho surprised Klopp aisee but nwa tetesi ni kwamba Klopp never "liked" th boy especially when he had a rough ride kikosini and i stand with Fabinho on this better kwanza alale dalaz hukooo
Sasa kazi kwa Klopp naona ni kama ame chill akisubiri January ampate Andre aafu kikosi sasa kitakua kamili.. Andre is a modern DM more like Rodri breaking lines n being in th right place at th right time....
Come January come Andre... Arsenal though wapo kwenye mix ya huyu dogo mapema sana Klopp amalize hii dili.
YNWA
Nyie sasa ndo mnaishi kwa kucopy
.kwamba Nuniez atakuja kuwa kama Salah[emoji23].
Wamecheza na timu ya mabishoo akina Neymar.
Sisi hatusemi kama ni mbaya.Dah.!! Ujue kuna vile mtu asipokukubali inabaki hivyo mara nyingi.
Nunez kafunga
Vs City
Vs Madrid
Vs Utd
Vs Newcastle
Huko nako mabisho??
Nunez piga kazi watakukubali tu hata kwa shingo la kupinda hasa huyu #SAINT ANNE
Sisi hatusemi kama ni mbaya.
Ni mzuri, hata mwaka jana WC alifanya vizuri kwenye timu yake ya taifa.
Ila ni kwamba atafanana na Salah hapana, hapa mmetupiga.
😂 😂 😂 U r sworn Nunez critik haijalishi acheze vipi na dakika ngap wwe umo kumdiss unless unasahau hata huyo Salah kuna wakati humu almost aliboa sana kwa ule uselfishness wake kiasi Mane alichukia live bila chenga lakini Klopp hakuwai kumtia benchi mbali muda wote akiwa mzima ni wa kupangwa na hilo lilichangia dogo Mo kua na consistency ya kufunga ama kutengeza magoli kwa wengine na hilo ndio binafsi nataka nione kwa Nunez akipewa dakika za kutosha uwanjani 1st 11 sio hizi patches...Usimlinganishe Salah na vitu vya ajabu[emoji1787]
Uwepo wa Edu pale Arsenal kumhitaji huyu dogo kunaweza kuharibu mambo aisee lakini nina imani kwa kua dogo alishapewa dodoo za kumhitajika kutua Liverpool.... Itakua combination ya nguvu sana Dominic Andre Gravenberch...Kabisa tukamilishe deal mapema sana, ni £19M tu ni nafasi kwetu hii maana we have initial negotiation haitakuwa kazi ngumu. Plus Andre likes to wear Liverbird logo deal litarahisika kwa staili hiyo.
Few DM in the industry currently. Kumpata mtu kama Andre kwa price hiyo sio kitu cha kujiuliza mara mbili mbili, na hawezi kuwa na pressure kubwa hata aki flop its a cheap price.
Mpo nafasi ya ngap matajiri wa jijiMuna timu mbovu sana, mukikutana na hii chelsea mutalamba lolo
Mkuu salama. Za ma siku tele.Hii timu ishagajifia aise hata kupost lineups hakuna.
😂 😂 😂 😂Pale hakuna Gunners ya 03/04 sio rahisi tena aisee ligi ushindani upo next level na pia mechi zimekua nyingi balaa na rate ya majeruhi is next to none...All day long nitakuwa nawaombea muwe mabingwa msimu huu ikitokea city akaflop ila sio kwa wale jamaa wa overload n pressing.
Kwa sasa wamegeuka wajuaji wao hata mambo yasiyo ya maana.
By the way hao gunners ndio wale wa 2003/04 au ni upepo tu utapita watarudi kwenye default setting yao?